Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,768
Kwa nini ajengewe hizo chuki binafsi!!!? Inawezekana kabisa ni kwa sababu anafanya maamuzi ya matumizi ya fedha za umma kibinafsi zaidi. Nani aliyefanya feasibility study kujua iwapo Chato ilifaa kuwa na International Airport!!?Kwani KIA ipo mjini Arusha ama Mjini Moshi? Vuta taswira wakati ikijengwa yale maeneo yalikuwaje!! Lakini kwa nini tusitazame uwepo wa Burundi, Congo, Rwanda, Uganda nk kama maeneo muhimu yanayoweza kutengenezewa linkage nzuri na uwanja huu. Kwani ni lazima kila kitu kilete faida leo leo? Kabla ya Chato si kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja kama huo kule Misenyi, Kajunguti!! Wakati huo mbunge wa jimbo la Nkege akiwa Waziri wa A. Mashariki aliupigania uwanja huo, wakazi wa eneo lililopangiwa wakalipwa na fidia ila akazidiwa kete na faza house. Tatizo sio Chato, tatizo ni chuki binafsi kwa JPM. Watanzania tunapenda kulalama tu. Vitendo ziro kabisa.
Mtu akilaumiwa kwa matendo yake yasiyo shirikishi si chuki.