Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Kwani KIA ipo mjini Arusha ama Mjini Moshi? Vuta taswira wakati ikijengwa yale maeneo yalikuwaje!! Lakini kwa nini tusitazame uwepo wa Burundi, Congo, Rwanda, Uganda nk kama maeneo muhimu yanayoweza kutengenezewa linkage nzuri na uwanja huu. Kwani ni lazima kila kitu kilete faida leo leo? Kabla ya Chato si kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja kama huo kule Misenyi, Kajunguti!! Wakati huo mbunge wa jimbo la Nkege akiwa Waziri wa A. Mashariki aliupigania uwanja huo, wakazi wa eneo lililopangiwa wakalipwa na fidia ila akazidiwa kete na faza house. Tatizo sio Chato, tatizo ni chuki binafsi kwa JPM. Watanzania tunapenda kulalama tu. Vitendo ziro kabisa.
Kwa nini ajengewe hizo chuki binafsi!!!? Inawezekana kabisa ni kwa sababu anafanya maamuzi ya matumizi ya fedha za umma kibinafsi zaidi. Nani aliyefanya feasibility study kujua iwapo Chato ilifaa kuwa na International Airport!!?
Mtu akilaumiwa kwa matendo yake yasiyo shirikishi si chuki.
 
Wakongo walishindwa kuyataifisha na kuyaendeleza haya makazi ? Nafikiri hata serikali za sasa nazo zina matatizo kichwani. Hiyo ni pesa ya walipa kodi inateketea !
Was it a strategic place? Porini, tena hufikika kwa ndege tu toka maeneo mengine. Hakuna viwanda wala shughuli za kiuchumi. Gbadolite palijengwa kwa sababu Dictator Mobutu alitaka iwe na ikawa, na kwa kuwa "he was the state," nani angemzuia!!!?
 
Chato ina nini ?!. Ungesema Muganza, Katoro ningekuelewa si chato . Haya yanayofanyika Chato ni kwa sababu tu ya uwepo wa namba moja.
Katoro, Muganza, Biharamulo, Buseresere hata Bukoba, Geita na Kigoma ni 'sallelites' zinazoifanya CHATO ing'ae zaidi!
 
Siungi mkono any kind ya fraud ila nnauliza hivi Chato sio Tanzania? Inamaana mtu akishakua kiongozi haruhusiwi hata kuchimba choo kwao?
Chimba kwa fedha zako. Usitumie fedha za umma kufanya "white elephant projects," ambazo ukitoka madarakani zitakuwa hazina faida yoyote kwa nchi.
 
Ukaangalia comments nyingi kwa umakini utagundua wachangiaji ni watu kutoka kasikazini,,,,, imagine rais angetoka kaskazini nini kingetokea???? Na hatuna mpango wa kuwakabidhi nchi nyie watu mpaka baadaye sana kwasababu tunawajua vizuri, nani asiyewajua??
Unajuaje mburula, mpenda ubaguzi Wewe!!!? Mkishindwa hoja mnaleta viroja vyenu vya kipumbavu.
 
Was it a strategic place? Porini, tena hufikika kwa ndege tu toka maeneo mengine. Hakuna viwanda wala shughuli za kiuchumi. Gbadolite palijengwa kwa sababu Dictator Mobutu alitaka iwe na ikawa, na kwa kuwa "he was the state," nani angemzuia!!!?
Hata yangewekwa kuwa makao makuu ya wilaya. Manake miundombinu tayari ipo
 
Kuwa mkweli kwa moyo wako. Hivi kabla ya Magufuli kuwa Rais, wangapi tuliijua Chato kiasi cha kupewa miradi yote iliyojengwa huko!!!?
'POTENTIAL' ya CHATO wanaijua zaidi wakazi wa Chato, ikiwa ni pamoja na mbunge wao zamani, ila mimi nimeshtuka baada ya kuona bidii na kuanza kujiuliza. Hata wewe ukiondoa ushabiki na kufanya uchambuzi wa taarifa utauona ukweli!
 
Kama ujenzi wako wa hoja unaishia hapa wewe ni zombi mwenzangu, kama unaibiwa kura na unaishia kupost chuki wewe ni zombi mkuu, kama huna uwezo wa kupinga analofanya JPM na unanuna tu wewe ni zaidi ya zombi, na utakuwa vampire kama una ndoto za kumtoa JPM madarakani 2020.

Ningekuona mtu makini kama ungekuja na suruhisho la udhaifu wa JPM ambalo linatekelezeka katika kuibadili dira ya taifa letu. Kama kiongozi anakosea kwa makusudi, ama kujilimbikizia mali kinyume na utaratibu pengine hapo baadae aweza kutaifishwa kwa manufaa ya taifa letu, ila kulalama tuuu ni uzombi og. Na kama aloyafanya Chato ulitaka ulitaka ayafanye kwenu nikikuita zombi nitakuwa nimekupendelea. Ubinafsi Africa unatumaliza, anaelalamika nae anasubiria fursa ili 'apige'.

As long as mimi na wewe hatuna namna bora ya kuwaondoa wasiotufaa madarakani, sote ni mazombi yafaa tujisajili Hollywood pengine tutaongeza kipato halali.
Demokrasia ni mchakato. Hapa Hakuna anayelalama. Tunajadiliana. Mleta mada anasema Mobutu kwa udikteta wake alifanya vitu ambavyo kama vingeamuliwa kwenye vyombo vya kidemokrasia isingewezekana kufanyika jinsi vilivyofanyika.
Sasa je, hawa wa kwetu wakifanya kwa udikteta tu watu wasiseme kwa sababu haibadili chochote!!?
Lazima isemwe, maana mwisho wa yote watu wakichoka kusema hushtaki kwa
Mungu!!!
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anafahamu nini kitatokea kule baada ya JIWE kutoka madarakani...

Wathungu walisema, ''WE LEARN THROUGH MISTAKES''.

Kwa mtu kama JIWE bila ya shaka hajawahi kukutana na msemo huu au kwa vile Ung'eng'e unampa shida inawezekana haelewi!!! Hili jamani ni swala la muda tu....CHATO WILL CHANGE INTO ANOTHER GBADOLITE inTanzania....It's just a matter of time.
 
Mobutu aliacha MBEGU chafu Africa roho ya kujipenda nafsi,ule uwanja wa ndege aliojenga pinda vipi unatumika?
 
'POTENTIAL' ya CHATO wanaijua zaidi wakazi wa Chato, ikiwa ni pamoja na mbunge wao zamani, ila mimi nimeshtuka baada ya kuona bidii na kuanza kujiuliza. Hata wewe ukiondoa ushabiki na kufanya uchambuzi wa taarifa utauona ukweli!
Chato hakuna chochote kwa miaka mingi. Ilikuwa ni Center ya kawaida tu Hadi majuzi. Ghafula tukaanza kuona taa za barabarani, kwenye lami wapitapo mbuzi na punda zaidi. Ni ubinafsi tu na kujipendelea. Iwapo kila kiongozi anayeingia madarakani atajenga kwao, tutakuwa na Nchi ya namna gani!!!?
 
They say....charity bigins at home

The question here is WHERE IS HOME for the President of Tanzania?
Nyerere's home was at Butiama village(Musoma-Mara) hakuna uwanja wa ndege wa Kimataifa wala mahekalu kama ya Gbadolite....!!!
Ali Hassan Mwinyi's home was in Zanzibar or somewhere else in Tanzania Mainland lakini hatukuona huu upuuzi wa Chato!
Mzee Ben Mkapa's home is Nanyumbu- Mtwara lakin mzee wa Kimakonde kamaliza muda wake hatujaona ujinga unaofanyiak Chato sasa...!!
Mzee wa Msoga Kiwete yuko pale Chalinze lakini mpaka kesho sijaona uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa sarakasi kama zinazofanywa na huyu Mzee wa Kisu-**** toka Chato....!!!

Kwa Rais the say of..."CHARITY BEGINS AT HOME..." is TANZANIA AS A NATION and not from a certain village where the President originates....'' Rais anatakiwa kuboresha Tanzania yote kwa ujumla wake bila kujali anatoka kijiji gani iwe Chato, Nanyumbu, Msoga, Butiama au Makundu-uchi!!
 
Hujui unachokisema kwa sababu hujui udikteta wa mtu mmoja ulivyoiharibu Kongo!!!

Zakaria Lang'o,
Kuna mapoyoyo wa CCM humu walishajitoa ufahamu....kila upuuzi wao ni kuunga mkono...!!Inawezekana kwa vile jitu lilisha kunywa maji ya bendera ya kijani basi linatetea ujinga na halijawahi kusikia kama kuliwahi kuwa na Dikteta mmoja huko DR Congo akiitwa Mobutu Seseko Kuku wa Zabanga...!!
 
The question here is WHERE IS HOME for the President of Tanzania?
Nyerere's home was at Butiama village(Musoma-Mara) hakuna uwanja wa ndege wa Kimataifa wala mahekalu kama ya Gbadolite....!!!
Ali Hassan Mwinyi's home was in Zanzibar or somewhere else in Tanzania Mainland lakini hatukuona huu upuuzi wa Chato!
Mzee Ben Mkapa's home is Nanyumbu- Mtwara lakin mzee wa Kimakonde kamaliza muda wake hatujaona ujinga unaofanyiak Chato sasa...!!
Mzee wa Msoga Kiwete yuko pale Chalinze lakini mpaka kesho sijaona uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa sarakasi kama zinazofanywa na huyu Mzee wa Kisu-**** toka Chato....!!!

Kwa Rais the say of..."CHARITY BEGINS AT HOME..." is TANZANIA AS A NATION and not from a certain village where the President originates....'' Rais anatakiwa kuboresha Tanzania yote kwa ujumla wake bila kujali anatoka kijiji gani iwe Chato, Nanyumbu, Msoga, Butiama au Makundu-uchi!!
You have said it all. Mwenye masikio na asikie.
 
Back
Top Bottom