Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chattel ya miaka ya baadaeMobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite
Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe
Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo
Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu
Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao
Leo hii kwao kumebaki magofu
Magufuli soma historia.
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite
Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe
Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo
Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu
Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao
Leo hii kwao kumebaki magofu
Magufuli soma historia.
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
Duuuh kama nyumbu wanavuka mto MaraJuly 6,2019
Magari ya waheshimiwa yakiwasili ktk uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Chato International uliopo ktk kijiji kimoja wilayani Chato mkoa wa Geita, Tanzania.
POLE KWA UTAPIA MLO,KICHWA SI CHA KUFUGIA NYWELE MKUU!PENYE UKWELI NA USEMWE, LAKINI CHATO HAIWEZI KUWA TEMBO MWEUPE KAMA GBADOLITE YA MOBUTU! THINK!
Nchi masikini msafara GAri 50 yote gharama ya kodi zetu,nchi tajiri zitupazo misaada hata GAri 10 Kwa mbinde kupata.Duuuh kama nyumbu wanavuka mto Mara
Huu ndio ujinga na upumbavu uliopitiliza
Kuna nini chato cha kuweza kuimarisha uchumi
Kwa hivi akija Rais mwingine toka Peramiho naye akajenga airport au mabenki huko kwao nayo itakuwa sawa?
Chazo cha mapato kiko wapi? Hawalimi hawafugi ardhi mbovu watu wenyewe ni primitive baiskeli tu hawana halafu unawapelekea ndege like seriously!
Angekarabati uwanja wa Mwanza uwe wa kimataifa
Time will tell
In social-economic analysis, mji wa chato na ule uwanja wake vitadumu na kukua zaidi? Au vitakua kama huo mji alioutaja mleta mada?Magufuli is a country bumpkin.
Criteria yako ya kukua mji ni ipi?In social-economic analysis, mji wa chato na ule uwanja wake vitadumu na kukua zaidi? Au vitakua kama huo mji alioutaja mleta mada?
Ufafanuzi plz
Heshima kwako mkuu.
Criteria yako ya kukua mji ni ipi?
Maana hata mji unaokua kwa mtu mmoja kwa mwaka unakua.
Afrika inaharibiwa na watu wanaoingia madarakani kwa njia za demokrasia, lakini mara wanapoingia Ikulu hujigeuza madikteta kwa kuziteka nyara taasisi za kidemokrasia ili watawale bila kuulizwa. Matokeo yake ni kama haya yanayofanyika Chato.Nashukuru kwa kuwa umekuwa mkarimu, namna hii tunaweza kujadiliana na kuafikiana. Nikwambie Mkuu demokrasia si jambo jepesi kivile kama ambavyo uongozi si kila mmoja anauweza. Hata huko Marekani kuliibuka tuhuma za Trump kusaidiwa na Urusi katika kuupata urais, hapa Afrika demokrasia ni ndoto kabisaa. Lakini pia yapo mazingira ambayo udikteta ni bora kuliko demokrasia, sisi tumekaririshwa tu na mifumo yetu ya elimu.
Watu wakiona mambo hayako sawa waseme, na wapaze sauti! Ila wajenge hoja za msingi, kama hawasikilizwi wachukue hatua zinazoeleweka. Sio kujibanza kwenye keyboard na kulilia ndani. Afrika demokrasia bado sana.
Sehemu kama Chato ziko ngapi nchini, ngapi zimeizidi Chato kwa vivutio na kuweza kuwa na uchumi mkubwa zaidi, na kwa nini Chato ipewe kipaumbele (kiasi cha kujengewa uwanja wa ndege unaowezesha ndege kubwa kutua) zaidi ya pengine panapoweza kuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa kiuchumi?Kwenye human settlement, demography and economic development mara nyingi hua tunaangalia available natural resources, human resources, technology, infrastructure, inter relationship (trade) with surrounding or distant communities (centers, towns, cities etc)
Sasa kwa case ya Chato,
Utaona wana..
1. Ardhi nzuri ya kilimo
2. Misitu
3. Mbuga ya wanyama
4. Ziwa (Victoria)
5. Watu (human resources)
6. Miji iliyowazunguka ie Mwanza, Geita, Rwanda, Ngara etc
Na vingine viingi.
Je Chato ni kweli inaweza kugeuka kua magofu kama mleta mada anavyodai? Au utazidi kukua zaidi?
Uchambuzi wako mkuu kwa hili.
Unepaniki
Hizi hoja zako za kujidharau hazifai. Ni aina ya mawazo yanayokubaliana na ile hoja ya Wazungu kuwa sisi Watu Weusi tu nusu watu. Ni dhana mfu. Kwamba mtu mweusi hawezi kufanya mambo kama binadamu kamili, Inasikitisha sana iwapo yanatoka kichwani kwa mtu mweusi.Fizibiliti study bongo hii!! Rejea lile bwawa la DART jangwani, kulihitajika PhD kujua pale hapafai! Nachokuhakikishia hapa bongo wanaopinga progress za JPM nao wakipata nafasi watakuwa na madudu Yale yale tu! Sisi ni wabinafsi kwa hulka tu, lakini pia yeye sio mtakatifu hadi tuseme hautendei wema utakatifu huo. Hujawasikia wabunge pamoja na vipato vilivyonona bado walishindwa kutoa pesa binafsi kwenda kushangilia Taifa Stars, wakaomba pesa za umma!! Mpumzisheni Mkuu asee.