Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Na mtahamishiwa huko kuongeza idadi ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu kama Chato ziko ngapi nchini, ngapi zimeizidi Chato kwa vivutio na kuweza kuwa na uchumi mkubwa zaidi, na kwa nini Chato ipewe kipaumbele (kiasi cha kujengewa uwanja wa ndege unaowezesha ndege kubwa kutua) zaidi ya pengine panapoweza kuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa kiuchumi?
Tuangalie kanuni za uchumi za utilitarianism.
Jana kuna mtu alizungumzia habari kama yako.Unachosema ni kweli, kua Chato inazdiwa na sehemu kadhaa kwa vivutio na fursa mbalimbali.
Je, tatzo ni Chato kupendelewa na sio sehemu zingne? Na kwa nn sehemu duni kama Chato kujengwa miundombinu mikubwa kama miji mingine?
Lkn kwenye hoja za msingi za maendeleo ya kiuchumi lazma maeneo duni kuimarishwa ili kuleta unafuu wa maisha na kuondoa uchumi kutoka kutegmea sekta moja"economic diversification"
Sasa basi kama tutaendelea kujenga tu Dar, Mwanza, Mbeya n.k ni lini basi maeneo maskini kama Chato, Songea, Rukwa n.k nayo yataboreshwa?
Je ww wasemaje kwa hili?
Siku hizi mkosoaji amebatizwa jina "mpiga Dili" au mla pesa za wananchi! . Haya ndiyo matamshi pekee pindi mnaposhindwa kujibu hojaKaa huko na ndoto zako za kupenda kula pesa za wananchi. Na bado... mtaisoma namba hadi mnyooke
Usitetee ujinga Angeliona aibu kidogo akafanya hayo Geita makao makuu ya mkoaCharity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Mtukufu ni Mungu Mwenyezi pekee magufuli ni wakala wa shetani na nyie ndo misukule yake iliyokatwa ulimiUsimfananishe Mtukufu Rais na mambo yako yakipumbavu..
Hii ni Tanzania sio kongo wewe kilaza, kama unapapenda kongo hamia huko
Kwani magufuli kachimba choo au kajenga uwanja wa ndege?Siungi mkono any kind ya fraud ila nnauliza hivi Chato sio Tanzania? Inamaana mtu akishakua kiongozi haruhusiwi hata kuchimba choo kwao?
Kwahiyo kwa kujenga uwanja wa ndege kijijini chato ndo nchi imeendelea?Haina shida nyumbani kwanza ata mimi naanza nyumbani hili hiwe mfano nyote mkipata mkumbuke kwenu ndio nchi itaendelea
Ukabila ndio umasikini wako.Ukaangalia comments nyingi kwa umakini utagundua wachangiaji ni watu kutoka kasikazini,,,,, imagine rais angetoka kaskazini nini kingetokea???? Na hatuna mpango wa kuwakabidhi nchi nyie watu mpaka baadaye sana kwasababu tunawajua vizuri, nani asiyewajua??
Wajinga ndio mnaomuelewa.Najua kwa akili alizonazo rais magufuli watu wengi ni vigum kumwekewa
Na wewe inabidi ujenge kwenu hili nchi iendelee kila mtu ajenge kwaoKwahiyo kwa kujenga uwanja wa ndege kijijini chato ndo nchi imeendelea?
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Fizibiliti study bongo hii!! Rejea lile bwawa la DART jangwani, kulihitajika PhD kujua pale hapafai! Nachokuhakikishia hapa bongo wanaopinga progress za JPM nao wakipata nafasi watakuwa na madudu Yale yale tu! Sisi ni wabinafsi kwa hulka tu, lakini pia yeye sio mtakatifu hadi tuseme hautendei wema utakatifu huo. Hujawasikia wabunge pamoja na vipato vilivyonona bado walishindwa kutoa pesa binafsi kwenda kushangilia Taifa Stars, wakaomba pesa za umma!! Mpumzisheni Mkuu asee.
Dah aisee. Ni roho ngumu sana tena kuvaa uso wa mbuzi kupora mali za watu na kujenga mahekalu porini.
Mbinguni Waafrica hawaendi. Wallah kabisa.
Naanza kuamini ile inayosemwa kua sisi ni kizazi cha laana.
Africa kua kama ulaya ni ndoto za mchana.
Lkn wakongoman walishindwa nn kuendeleza hayo makazi ?
Ufafanuzi mwenye kufahamu plz.
Walielezea Nyerere alivyokataa kujenga barabara ya lami kwenda Butiama, kwa kuuliza "Butiama kuna zao gani?".
Lakini, kuna sehemu nyingine zinastahili kupewa kipaumbele kwanza, kwa sababu, ukiziendeleza hizo, zinaleta kitu kinaitwa "multiplier effect".
Tatizo, kwa nchi yenye bajeti finyu na macho mengi yanayoiangalia bajeti hiyo finyu, utaanza kujenga wapi ili ujenzi wako uwe na manufaa mengi zaidi kwa watu wengi zaidi? This is the utilitarianism I was talking about. The greater good for the greater number of people.
Jibu swali mkuu unakwepa niniNa wewe inabidi ujenge kwenu hili nchi iendelee kila mtu ajenge kwao
Mleta mada naona unaendana na ule msemo wa dua la kuku halimpati mwewe.
Huwezi kumlinganisha Mobutu na JPM, ni watu wawili tofauti kabisa katika suala la maono yao.
Mi najiuliza hizi pesa kwanini zisingepelekwa kuboresha uwanja wa ndege wa Mwanza,uwanja wa ndege wa Mwanza hauna hata jengo la Abiria yaaani ni kubanana tu
Sisi wengine huwa tunapenda kuwa 'neutral observers' muda mwingi. Nakuomba tu, kwa uzi huu 'specifically', jaribu kulinganisha Gbadolite na Chato ukizingatia 'ACCESSIBILITY', 'POTENTIAL' ya utalii na uchumi kwa ujumla wake, POPULATION ...... etc etc!