Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
12,576
Reaction score
14,522
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakisha kutoa press Release kama vile mwafanyaga kwenye matukio mengine.

Zaidi kongole kwa camera man wa kujitegemea.

Updates: Polisi yachukua hatua, yalaani vikali kitendo hicho
 
Attachments

  • VID-20250115-WA0102.mp4
    16.7 MB
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea,
Mama weee!
 
Japo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hichi kitu ulicho post.

Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zimekusanywa tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
 
Wananchi tuna uelewa mdogo sana, hatujui tunataka nini. Hakuna rushwa ndogo

Ugumu wa Maisha sio sababu ya kula rushwa.
 
Chief, acha hizo, sisi watu wa barabarani ndio tunajua umuhimu wa elfu 2! Inarahisisha sana Kazi MKuu.
Kama watanzqnia wanaipenda rushwa kiasi hiki mpaka kuwa washabiki na watetezi wa rushwa basi Kuna umuhimu wa kuendesha mjadala wa kuifuta taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, pia inayodili na maadili ya utumishi wa umma.
 
Wananchi tuna uelewa mdogo sana, hatujui tunataka nini. Hakuna rushwa ndogo

Ugumu wa Maisha sio sababu ya kula rushwa.
Mkuu,
Mimi naona ni posho ambayo madereva kwa upendo mkubwa wameamua kumpa kaka na dada trafiki

Ila kwa kua limefika humu..wata shuhurikiwa ikiwemo kuhamishwa vituo vya kazi..

JAMHURI YA MUUNGANO... KAZI IENDELEE..
 
Japo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hiki kitu ulicho post.

Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zinaonyesha tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
Hivyo midagaa iendelee kufanya itakavyo?
 
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea,
2,000 akipata Magari yake 100 kapata Posho ya siku. Anaondoka zake eneo Hilo.... Keshamaliza kazi.
 
Back
Top Bottom