Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

Ajabu ni kwamba hata jamii inaona ni sawa kinachofanyika, kwamba huyu polisi wa barabarani anachofanya ni sawa tu, kumbe haya yanafanyika mahakamani, mashuleni, ofisi za umma zenye kuhitaji watu wapate haki kama tra, nssf. Watu wananyimwa haki zao ila sisi mbumbumbu tunaona it's okay, wale kwa urefu wa kamba zao. Afrika imejaa watu wajinga tu, tupo nyuma sana...
 
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea.

View attachment 3202252
Nilikuwa najua na wewe upo mjini? Hiyo nilishasikia kitambo kwamba hayoo ni maisha ya kawaida na kila siku huko mjini
 
Ntarudi kusikiliza mjadala wa kitaifa kwenye hili sihusiki na sitajihusisha jambo ambalo ni utamaduni na lipo halina upekee wowote kwa walio wachache, tupinge fitina za mbuzi wa kafara ila kama ni vita acha wapigane wanaopigana ukiwa mkosaji usivimbe sana sio poa
 
Hawana mishahara? Walimu nao wale wapi manesi nao wale wapi, wahasibu nao? End of the day nchi inanuka rushwa, subiri upate shida inahitaji haki itendeke tuone kama utaongea huu upupu.
Walimu labda waibe chaki na peni,makaratasi

Ova
 
Japo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hichi kitu ulicho post.

Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zimekusanywa tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
Acha kutetea ujinga
 
Walimu labda waited chaki na peni,makaratasi

Ova
Mkuu,
Hivi vitu watu tunashadadia tu ila vinaturudisha nyuma sana kama taifa. Rushwa iwe ndogo au kubwa sio ya kuchekea, mimi huwa nakasirika sana nikikutana nao then waniletee hizo pigo. Kuna story ilinitokea pale external ubungo, mbona askari alinigwaya, hadi akaniuliza natokea wapi mbona niko tofauti.
 
Attachments

  • IMG-20250115-WA0007.jpg
    IMG-20250115-WA0007.jpg
    96.5 KB · Views: 2
Japo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hichi kitu ulicho post.

Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zimekusanywa tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
Aliyeposti kaamua kuanza na Dagaa, wewe post hao Papa.
 
Back
Top Bottom