Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

Mimi nashauri hao wanausalama waachiwe haraka, wakudakwa hapo ni hao makonda, kutoa na kupokea rushwa ni kosa. Ukiangalia hapa hao Askali Hata hawakuomba kitu mtu anatoka huko mbio na kukushika mkono akikupa ya maji na joto hili la Darisalama utakataaa??

Nawasilisha.
 
Sijapentaa hiki alichokifanya huyo mchukua video kwakweli..
 
Sitetei Rushwa ila huu ni ujinga . Yani buku mbili ya kubrash viatu unayompa kama asante baada ya kuvumilia maujinga yako ndo unataka mtu afukuzwe kazi. Kila kitu kina kiasi.
Me sioni hata cha mana hapa.

Hawa watu wasamehewe wapewe onyo waendelee na maisha. Mara nyingine wanatumia tu ubinadamu kutusamehe makosa lakini sisi ndo viherehere wa kuwapa mkono wa asante na kuwaingiza matatizoni.
 
Dah posho laki mbili , bado zile za kusamehe adhabu. Tuseme walipatikana 50 wenye hatia wakatolewa shs elf 10
Wanapata pesa Sana Traffic, kila siku kila Daladala linatoa 2,000 kila siku....! Utakuta Route Moja Ina Magari mpaka 300....!

Japo Kuna mgao na Wakuu.
 
Back
Top Bottom