MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Acheni u-snitch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana speed haswa! Akili imehama kabisa kwenye kazi. Ana FOCUS kwenye umate umate.Dada atakuwa ana marejesho nini? Sio kwa spidi hiyo ya kasongo kwenye kuchukua hela ya ku-brush viatu
Wanaoishi kwa rushwa matrafiki ni 100% sio 90%Wasiadhibiwe, kwa sababu traffic 90% wanaishi hivi
Hakuna utaratibu wala maadili ya kondakta wa daladala kushuka na kwenda kwa 'traffic police' anashikana mkono akiwa amekunja ngumi na kuikunjua wakati bado wameshikana; Hakuna mazungumzo yoyote yanayofanyika hapo ya sababu ya kuisimamisha daladala kisha kondakta kushuka na kwenda kwa askari wanashikana mkono anaondoka halafu trafiki anaweka kitu kwenye pochi ya kuwekea mashine ya EFD.Anasalimiana na wateja wake jamani hakuna ushahidi wa kupokea kitu hapo,case closed
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakisha kutoa press Release kama vile mwafanyaga kwenye matukio mengine.
Zaidi kongole kwa camera man wa kujitegemea.
Hujatumia akili kujibu, kwa hiyo tuache rushwa iendelee kisa, vidagaa?Japo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hichi kitu ulicho post.
Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zimekusanywa tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
Tunaanza chini kwenda juu na hao ma papa watafikiwa tu jifunze kupitia NCHI kama Botswana na RwandaJapo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hichi kitu ulicho post.
Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zimekusanywa tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
Hawa ndo kesho watapanda vyeo wakapige billions hukoBasi hao wakifukuzwa kazi mkuu roho yako kwatuuuuuu, alafu wanaopiga billions of money mnakuja kuwaimbia pambio humu.
View attachment 3202420
Hizi rushwa kiroboto( rushwa ndogo ndogo) ndio zinawapa kiburi madereva wa daladala kuvunja sheria za barabarani mchana kweupe.
Dereva huwa anajiambia mtanifanya nini, Traffic polisi Janeti tunakula pamoja.
TAKUKURU, mmeiona hii clip inatembea mitandaonikwa kasi.
Mi nimeona wakisalimiana,nani kaona rushwa?Acheni u snitch mnataka wenzenu wakale wapi?
Hayo maadili kwa mujibu wa sheria gani?Hakuna utaratibu wala maadili ya kondakta wa daladala kushuka na kwenda kwa 'traffic police' anashikana mkono akiwa amekunja ngumi na kuikunjua wakati bado wameshikana; Hakuna mazungumzo yoyote yanayofanyika hapo ya sababu ya kuisimamisha daladala kisha kondakta kushuka na kwenda kwa askari wanashikana mkono anaondoka halafu trafiki anaweka kitu kwenye pochi ya kuwekea mashine ya EFD.
Madereva na kondakta wanakiri bila kutoa chochote kila tripu anayofanya atakamatwa na kuorodheshewa makosa mengi sana ambayo kuyalipa ni mpaka wamtaarifu tajiri ambaye wanatambua huwa hawataki kusikia zaidi ya kupelekewa marejesho waliyopangiwa..
Hao askari polisi wakichukuliwa hatua na hao makondakta na dereva ya Rumion nao wachukuliwe hatua za kisheria pia.
Mtoaji na mpokeaji rushwa wote kosa lao ni moja.