Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

Kama watanzqnia wanaipenda rushwa kiasi hiki mpaka kuwa washabiki na watetezi wa rushwa basi Kuna umuhimu wa kuendesha mjadala wa kuifuta taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, pia inayodili na maadili ya utumishi wa umma.
Bora elfu 2 kuliko elfu 30! Wewe hupigi ganji kwenye harakati zako?
 
Serikali iliahabariki hayo wala wasitale kuwaadhibu. Na hizo ni za kusafishia viatu tu wala sio mamilioni.

Bongo bila dili kusurvive ni ngumu.
 
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea,
Basi hao wakifukuzwa kazi mkuu roho yako kwatuuuuuu, alafu wanaopiga billions of money mnakuja kuwaimbia pambio humu.
 
Hapa watakuwa wanachukua driving licence ili wakienda kwao wakaandike makosa kwa hawa madereva. Kwa kweli ni jambo la kujivunia na wanaonesha moyo mkubwa katika utendaji kazi wao. Safi sana.

Mkuu,
Mimi naona ni posho ambayo madereva kwa upendo mkubwa wameamua kumpa kaka na dada trafiki

Ila kwa kua limefika humu..wata shuhurikiwa ikiwemo kuhamishwa vituo vya kazi..

JAMHURI YA MUUNGANO... KAZI IENDELEE..
Hahahaha mkuu unasimamishwa ukatoe mkono wa pongezi au shukrani? Mbona ni daladala pekee?

Au Hawa ndio wanao ona kazi nzuri inayofanywa na wahusika? Hivyo vibegi vikikaguliwa unaweza Pata majibu kama wale trafik wa iringa walivyokamatwa na takukuru au wa nchi jirani

Huu mkono wa shukran una walakini
 
😊😊 Mkuu kwa siku hawakosi 30k mpaka 100k
 
Hivyo midagaa iendelee kufanya itakavyo?
Tukitaka haki anzeni na hao mapapa..

Vidagaa vinakusanya hela ndogo ambazo hata zikihesabiwa mwaka hazifiki robo ya wanazochukua hao mapapa.

Sitetei wafanya hiyo ila tutume na clip za hao mapapa wanavyokwapua hela zetu huko sio kuwaonea hawa tu.
 
Unakazi nzito ya kufundisha kizazi chako namna bora ya kuishi na wewe kuwa mfano wa wanao.
 
Japo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hichi kitu ulicho post.

Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zimekusanywa tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
Wrong is wrong even if everyone is doing it,
Right is right even if no one is doing it,

Unasapoti rushwa halafu ikitokea ajali wakafa watu utamlaumu nani? au utawalaumu hao hao wanaokula rushwa ambao wewe sasa hivi unawasapoti hapa?

Hakuna rushwa ndogo wala kubwa,rushwa ni rushwa,mla rushwa na mtoa rushwa wote ni wakosaji,
Rushwa ndogo ndio hupelekea mtu kupokea rushwa kubwa.
 
Back
Top Bottom