Mama weee!Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea,
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake😍😍😍😍Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea,
MmmhMods futeni uzi huu please
Wananchi tuna uelewa mdogo sana, hatujui tunataka nini. Hakuna rushwa ndogoJapo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hichi kitu ulicho post.
Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zimekusanywa tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
Aaaaah!....hela ya chai tu hiyo...maisha kutegemeanaHapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea,
Kama watanzqnia wanaipenda rushwa kiasi hiki mpaka kuwa washabiki na watetezi wa rushwa basi Kuna umuhimu wa kuendesha mjadala wa kuifuta taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, pia inayodili na maadili ya utumishi wa umma.Chief, acha hizo, sisi watu wa barabarani ndio tunajua umuhimu wa elfu 2! Inarahisisha sana Kazi MKuu.
Mkuu,Wananchi tuna uelewa mdogo sana, hatujui tunataka nini. Hakuna rushwa ndogo
Ugumu wa Maisha sio sababu ya kula rushwa.
Hivyo midagaa iendelee kufanya itakavyo?Japo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hiki kitu ulicho post.
Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zinaonyesha tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..
2,000 akipata Magari yake 100 kapata Posho ya siku. Anaondoka zake eneo Hilo.... Keshamaliza kazi.Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea,