Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo hivyo utaelewa tuMmarangu alafu wa machame hii ni maajabu
From now on you should be named zerominus1000 not 10 anymoreNdio hivyo hivyo utaelewa tu
Why? BecauseFrom now on you should be named zerominus1000 not 10 anymore
Your mind is something elseWhy? Because
Very far from mindset are you sure?Your mind is something else
Aisee Mozilla nilitumiaga last time kwenye Dell Latitude D620 sijui RAM ilikua 1GB ile?One of the best Internet browser for desktop ni Mozilla Firefox.
Chrome ninayo, Edge ninayo, but I always opt for Mozilla, hahahah😅
Umeshawahi kulala selo hata usiku mmoja tu, au kula ugali wa jela?Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.
Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.
Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.
Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.
Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?
Wanachoma mkuu,kutamka tu ni kutenda...wewe kisu unaweza kumchoma nan bhana 😂😂😂 embu acheni drama
Huyo anajitaftia matatizo, kama kaona anasalitiwa afanye maamuzi na sio kuleta dhahma.Half american umeona mapenzi zilivyo sikuhizi....yaan unaweka roho yako rehani🙌
Njoo kwangu Mimi🥰Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.