Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Zamu yako liwa sepa acha makasiriko unajitafutia matatizo bure. We mwenyewe umewapanga au ndio alikubikiri?
 
Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.

Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.

Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.

Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.

Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?
Umeshawahi kulala selo hata usiku mmoja tu, au kula ugali wa jela?
 
Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.

Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.

Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.

Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.

Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?
Njoo kwangu Mimi🥰
 
Back
Top Bottom