Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Ukiona manyoya...... ....
Mkuu jipange upya
 
Unalalamika nini wakati unajiita ndondocha mkuu? Hiyo ndio tafsiri yake
 
Somo ndugu yangu, fikiria hata jinsi ya kuishi mtaani baada ya shule. Chukulia mapenzi kitu cha kawaida acha kupendapenda ovyo ww bado ni kijana mdg, tafuta tu msichana wa kufarijiana hapo SUA.
 
Somo ndugu yangu, fikiria hata jinsi ya kuishi mtaani baada ya shule. Chukulia mapenzi kitu cha kawaida acha kupendapenda ovyo ww bado ni kijana mdg, tafuta tu msichana wa kufarijiana hapo SUA.
nashukuru sanaa,nmekuelewa
 
Mkuu nimesoma comment zote ila yakwako Ndio imeshiba ushauri mujarabu naamini akiufata huu hata jutia...
 
Mkuu umenikumbusha mbali Sana, anyway pole Sana, tupe updates basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…