hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
sawa mkuuHuwa ni vigumu kuukubali ukweli. Ukweli unaujua kwan moyo na akili vinawasiliana.
Unachojaribu ni kutaka akili ikubaliane na moyo.
Fuata akili inachokisema tofauti na hapo ataumia sana.
Usilazimishe penzi hata kama unampenda VP haiwezekani haiwezekani take your time.
mrejesho upo hapa mkuu: mrejesho :hapa nishaibiwa au niendelee kujifarijiHuu uzi wa 2016 siku moja kabla ya xmass, heb lete mrejesho bado unakomaa nae au ushatupa kule..?
Pole university mate
....Mnaojisacrifice kwa ajili ya mapenzi nawasii muendelee tu. Mtuvuna mnacho panda
nikwel mkuuSoma shule kwanza. Ukiendekeza mapenzi utajinyonga
Ila wanawake bhana unaweza fanya hayo yote na bado akachepuka kwa asie na hela wala mautundu kitandani hya mambo hayana formula ni heri kma hana mpango wa ndoa amlale tu ampotezee.Nasema hivi silaha za kumshinda mwanamke
1. Njunja vizur hata mkongo we paka
2. Toa pesa kwa wingi siziso na kuuliza uliza maana kuna wanaume mpaka aambiwe ndo anatoa we toa tu km chizi kaona makopo
3. Rudia namba 2
4. Click no 1
Hahahaah namm nipe pole.. Nilishaibiwa Mke .Pole ndondocha
acha ufala fala wewe mwanaume unawezaje kupenda sana tumia akili...Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
usiwe ndondocha basii...Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?