Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Huwa ni vigumu kuukubali ukweli. Ukweli unaujua kwan moyo na akili vinawasiliana.
Unachojaribu ni kutaka akili ikubaliane na moyo.
Fuata akili inachokisema tofauti na hapo ataumia sana.
Usilazimishe penzi hata kama unampenda VP haiwezekani haiwezekani take your time.
 
sawa mkuu
 
Huu uzi wa 2016 siku moja kabla ya xmass, heb lete mrejesho bado unakomaa nae au ushatupa kule..?

Pole university mate
 
Nasema hivi silaha za kumshinda mwanamke
1. Njunja vizur hata mkongo we paka
2. Toa pesa kwa wingi siziso na kuuliza uliza maana kuna wanaume mpaka aambiwe ndo anatoa we toa tu km chizi kaona makopo
3. Rudia namba 2
4. Click no 1
Ila wanawake bhana unaweza fanya hayo yote na bado akachepuka kwa asie na hela wala mautundu kitandani hya mambo hayana formula ni heri kma hana mpango wa ndoa amlale tu ampotezee.
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
acha ufala fala wewe mwanaume unawezaje kupenda sana tumia akili...
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
usiwe ndondocha basii...
 
Piga msuli dogo.. usije ukadisco na shule ya SUA nadhan unaifahamu vizuri. maliza utafute mchongo wa maana.. halaf tupe mrejesho
 
Back
Top Bottom