Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
mmh sizani mana kabadilika sana jana mempgia simu sa 4 kapokea kasema amechoka akakata, nkapga zaid ya mara 6 hakupokea tena
duuuudogo soma,,,,,madem wa chuo ni pasua kichwa.....uko chuo kwa ajili ya kuelimika sio kusimamisha ukuni,,, pumbafu wewe.....soma kwanza.....mwenzio huko anaulilia ukuni wa aina ingine,,, wewe unambwela mbwela hapa....
kwelidogo soma,,,,,madem wa chuo ni pasua kichwa.....uko chuo kwa ajili ya kuelimika sio kusimamisha ukuni,,, pumbafu wewe.....soma kwanza.....mwenzio huko anaulilia ukuni wa aina ingine,,, wewe unambwela mbwela hapa....
daa kiukweli yeye hajapata mkopo wala bum na mimi nmepata lakini hana mazoea ya kuniomba pesa
duuuu kumbe huwa hamuaminikisiamini katika mapenzi ya mbali mbali zaidi ya mwezi mmoja- miwili!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hasa kwa msichana kama huyo ambae kashaanza kuonyesha mabadiliko.
jiongeze ndugu!
kwani ye babaake?Hujajibu swali mkuu,"unampa pesa za kutosha?"
Mkuu hiyo idd! pole yakoMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Mkuu kuna mtu anakusaidia kumega hapo.... Nakumbuka nliwah kumtenda dem mmoja kwa kutumia sababu hzohzo ulizoztaja... Nlimtenda kwa tabia zake za kunigeuza Red Cross ya familia yaoMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Penzi lipi tena hapo Mkuu? Kusoma huju, hata picha huoni?Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
yaa nilishafanya maamuziPenzi lipi tena hapo Mkuu? Kusoma huju, hata picha huoni?
duu ebana kununua ukimwi kwa 4000?Tafuta mwngne hapo SUA au nenda faculty (kahumba)ukapunguze stress