Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
- Thread starter
-
- #161
red cross??? for money?Mkuu kuna mtu anakusaidia kumega hapo.... Nakumbuka nliwah kumtenda dem mmoja kwa kutumia sababu hzohzo ulizoztaja... Nlimtenda kwa tabia zake za kunigeuza Red Cross ya familia yao
Somaaa somaaaa somaaaa we endelea kusoma tuuuMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Hahahaa... Mkuu umejuaje bei kama c mteja? (joke)duu ebana kununua ukimwi kwa 4000?
Jitahd kumsahau maana hapo ushapigwa kadi picha inajielezaMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
daa kiukweli yeye hajapata mkopo wala bum na mimi nmepata lakini hana mazoea ya kuniomba pesa
Ko Kwavile hana mazoea ya kukuomba pesa basi na wewe ndo uache kumpa? Na ilhali unajua kabsaa kuwa hajapata boom wala mkopo!! Haya ingekuwa Mimi nngekuona wa kazi Gan,, Jiongeze mkuu.. Kwani ulimpa akakataa? Wanawake wengine hawapendi kuomba omba. Onyesha unajali hayo Ndyo mapenzi..daa kiukweli yeye hajapata mkopo wala bum na mimi nmepata lakini hana mazoea ya kuniomba pesa