Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Mkuu kuna mtu anakusaidia kumega hapo.... Nakumbuka nliwah kumtenda dem mmoja kwa kutumia sababu hzohzo ulizoztaja... Nlimtenda kwa tabia zake za kunigeuza Red Cross ya familia yao
red cross??? for money?
 
..achana na uhusiano wa aina hiyo..nakushauri sasa based kwenye mazoezi kulinda afya yako!!!
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Somaaa somaaaa somaaaa we endelea kusoma tuuu
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Jitahd kumsahau maana hapo ushapigwa kadi picha inajieleza
 
We msubiri wakati wa likizo maana uko yupo na mwenzio anayemsaidia matumizi ya chuo
 
Wakikumegea demu wako na wewe tafuta mnyonge ummegee,, haipunguzi maumivu inarejesha hadhi ya kiume
 
Ukiona manyoya ujue.... fanya yako mkuu kwan shilng ngapi mbona wapo wengi kuliko sie but all in all soma kwanza usije pata vimeo
 
daa kiukweli yeye hajapata mkopo wala bum na mimi nmepata lakini hana mazoea ya kuniomba pesa
Ko Kwavile hana mazoea ya kukuomba pesa basi na wewe ndo uache kumpa? Na ilhali unajua kabsaa kuwa hajapata boom wala mkopo!! Haya ingekuwa Mimi nngekuona wa kazi Gan,, Jiongeze mkuu.. Kwani ulimpa akakataa? Wanawake wengine hawapendi kuomba omba. Onyesha unajali hayo Ndyo mapenzi..
 
kaka amisha majeshi kasha kucompare uyuuu hapo huna share tena
 
Akikutamkia utaumia zaidi,jiongeze tu mkuu. Hawa viumbe mbn wanaeleweka vizuri tu.
 
Dah! Nikikumbuka enzi za chuo lazima uwe na ki demu cha first year kabla hakija janjaruka dah! aisee ilikua raha sana
 
Back
Top Bottom