Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Duh.
Watu wengine ukiona comment zao unajua kabisa hajawah kukumbana na dhoruba yeyote in love.
This thing ukisikie Kwa mwenzio namna hii au ukisikie Kwa harmonize tu ndo utaona kama wanaact but seriously vitu hivi vipo Na umwombe mungu aendelee kukupa life style lenye moyo uliotulizwa lakin aganst that nivibaya kuzidi unavyofikir.

Ili ukue kiakili hizi Ni moja ya vipimo vitakavyokufanya ujione unakua .

This guy anahitaji time kidogo ya kutulia kihisia.
 
Mwanangu anza kutafuta demu mwingine ungali chuo ukizubaa hadi likizo tutapata news jamaa wa sua amfata afande wa Mara kwa kujinyonga kwa unywele wake kisa wivu wa papuchi.
Chukua hadi tafuta demu kabla hujaambiwa hutakwi tena na huyo demu.
 
Kama yupo mweka kuchoka ni kitu cha kawaida wanafanya mazoezi Kama Jkt, wala usijichulie mabaya waza yaliyomema kwako kwani awazalo mjinga ndio linalomtokea.
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Moyo sukuma Dam c vingineee
 
nimefikiria hayo maamuzi ya kumuacha lakini nashindwa najua nitaumia sana
Kijana naona hilo unalofanya ndo litakuumiza zaidi. Hiyo ndo huitwa maamuzi magumu. Chukua maamuzi achana na huyo mwanamke. Inaonekana huyo binti keshakusoma udhaifu waki anajua huwezi kumfanya lolote. Jaribu kumchunia na ukiona hajakutafuta jua keshakutema. Na ukitaka kuendelea zaidi ya hapo basi ni kulazimisha mambo. Yatakutokea makubwa yakiwemo ya hawa watu wanaojiua kwa kukataliwa.
 
Km haeleweki mchunie, ukiona hakutafuti achana nae.wanawake mbona wengi.
Usipoangalia mapenzi yatakupotezea dira.
Nakushukuru kwa kumpa jibu rahisi. Kama hataweza kuelewa basi yanayofuata ni halali yake.
 
mmh sizani mana kabadilika sana jana mempgia simu sa 4 kapokea kasema amechoka akakata, nkapga zaid ya mara 6 hakupokea tena
Mwanangu hii story yako ni the same na mm...tangu mwaka jana mpnz wangu alibadilka mara tuache sex mpka tuonane,mara cm hapokei masaa hata 6 na watsapp anakuwa online anadelay kujib txt pia ikiwa nikimuulza kitu anajib kwa mood ya ukali nikaamua kumfuata hukohuko na baada ya uchunguz niligundua vitu vingi sana...sasa cha kukushaur nenda kmyakmya umtokee anapokaa kisha chukua cm yake utajua sabab na ukishaona ameanza kurukaruka na wanaume achana nae najua utaumia ila utasahau...mm baada ya kumfata niligundua vitu flan nikaona pia na my weakness nikaamua kuachana nae ila week mbili za mwanzo nimelia kidume mm lkn taratibu naanza kumsahau japo ni ngumu sana....ni pm au nipe namba yako nikushauri kitu coz maumiv ya hili nimeyapata cku chache zilizopta na cpo tayar kumuona mwenzangu akipitia hyo hali
 
Back
Top Bottom