Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo sukuma Dam c vingineeeMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Kijana naona hilo unalofanya ndo litakuumiza zaidi. Hiyo ndo huitwa maamuzi magumu. Chukua maamuzi achana na huyo mwanamke. Inaonekana huyo binti keshakusoma udhaifu waki anajua huwezi kumfanya lolote. Jaribu kumchunia na ukiona hajakutafuta jua keshakutema. Na ukitaka kuendelea zaidi ya hapo basi ni kulazimisha mambo. Yatakutokea makubwa yakiwemo ya hawa watu wanaojiua kwa kukataliwa.nimefikiria hayo maamuzi ya kumuacha lakini nashindwa najua nitaumia sana
Nakushukuru kwa kumpa jibu rahisi. Kama hataweza kuelewa basi yanayofuata ni halali yake.Km haeleweki mchunie, ukiona hakutafuti achana nae.wanawake mbona wengi.
Usipoangalia mapenzi yatakupotezea dira.
Mwanangu hii story yako ni the same na mm...tangu mwaka jana mpnz wangu alibadilka mara tuache sex mpka tuonane,mara cm hapokei masaa hata 6 na watsapp anakuwa online anadelay kujib txt pia ikiwa nikimuulza kitu anajib kwa mood ya ukali nikaamua kumfuata hukohuko na baada ya uchunguz niligundua vitu vingi sana...sasa cha kukushaur nenda kmyakmya umtokee anapokaa kisha chukua cm yake utajua sabab na ukishaona ameanza kurukaruka na wanaume achana nae najua utaumia ila utasahau...mm baada ya kumfata niligundua vitu flan nikaona pia na my weakness nikaamua kuachana nae ila week mbili za mwanzo nimelia kidume mm lkn taratibu naanza kumsahau japo ni ngumu sana....ni pm au nipe namba yako nikushauri kitu coz maumiv ya hili nimeyapata cku chache zilizopta na cpo tayar kumuona mwenzangu akipitia hyo halimmh sizani mana kabadilika sana jana mempgia simu sa 4 kapokea kasema amechoka akakata, nkapga zaid ya mara 6 hakupokea tena
[emoji1] [emoji1] lipende 2kiukweli nampenda sana