Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?

Tatizo mabinti wengi wanafikiri watu wote wanaosomea SUA ni wakulima na ukichanganya na jina lako basi binti anamwaga mbio haraka mkuu. Tafuta mwingine
 
Tatizo mabinti wengi wanafikiri watu wote wanaosomea SUA ni wakulima na ukichanganya na jina lako basi binti anamwaga mbio haraka mkuu. Tafuta mwingine
hhahahahahahahahahahahahaa
 
kaka hongera kwa ku move on,,hyo ni same namimi,now naona kawaida tuu,, mschana sio wa kumpa iman sana,,, bila shaka alipata mtu mwingine
Wanawake wamekuwa waongo na warahisi sana siku hizi na hasa akijua mpo mbali na wewe anajiona ana uhuru sana, hivyo sio ajabu atakuwa ameshapata wa kumgonga hapo chuo.

Ukifatilia kwa makini utakuja kukuta kuna mtu ameshaku replace. Ndivyo dada zetu walivyo so just tafta na wewe wako ili akishalizwa huko alipo akute na wewe una wako.
 
Mkuu hao mademu wa chuo ni PASUA KICHWA..bora wanaokwenda chuo na kurudi HOME... Ila hao wa hostel wengi wanaishia kama WANA NDOA... wakiwa hostel....yaani DUME linaishi na BINTI kama mkewe...wakati wazazi wanaamini BINTI YAO YUPO CHUO...au mchumba anaamini MCHUMBA wake yupo CHUO.. KUMBE kafungiwa na DUME na anapika na kupakuwa...NA Kufanya shughuli zote kama MKE WA MTU..nawapa POLE WENYE wachumba VYUONI...tena HOSTEL
Hahahah we unazingua ujue,,, enzi zangu namie niliishi na demu wangu ni raha sana mzee!
 
siamini katika mapenzi ya mbali mbali zaidi ya mwezi mmoja- miwili!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hasa kwa msichana kama huyo ambae kashaanza kuonyesha mabadiliko.
jiongeze ndugu!
Mbali hivyo...wengine week mbili tu tayari kagonga/kagongesha nje!
 
Mwanangu hii story yako ni the same na mm...tangu mwaka jana mpnz wangu alibadilka mara tuache sex mpka tuonane,mara cm hapokei masaa hata 6 na watsapp anakuwa online anadelay kujib txt pia ikiwa nikimuulza kitu anajib kwa mood ya ukali nikaamua kumfuata hukohuko na baada ya uchunguz niligundua vitu vingi sana...sasa cha kukushaur nenda kmyakmya umtokee anapokaa kisha chukua cm yake utajua sabab na ukishaona ameanza kurukaruka na wanaume achana nae najua utaumia ila utasahau...mm baada ya kumfata niligundua vitu flan nikaona pia na my weakness nikaamua kuachana nae ila week mbili za mwanzo nimelia kidume mm lkn taratibu naanza kumsahau japo ni ngumu sana....ni pm au nipe namba yako nikushauri kitu coz maumiv ya hili nimeyapata cku chache zilizopta na cpo tayar kumuona mwenzangu akipitia hyo hali
Inauma sana pale unapompenda demu na kumthamini sana kiasi kwamba unaji sacrifice kwa lolote juu yake kisha anatumia udhaifu wako kukusaliti bila huruma. It really pains i feel you bro. Ila yataisha pole sana mkuu!
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
fanya shughuli nyingine hy kuna mdau kamuweka ndani
 
Wanawake wamekuwa waongo na warahisi sana siku hizi na hasa akijua mpo mbali na wewe anajiona ana uhuru sana, hivyo sio ajabu atakuwa ameshapata wa kumgonga hapo chuo.

Ukifatilia kwa makini utakuja kukuta kuna mtu ameshaku replace. Ndivyo dada zetu walivyo so just tafta na wewe wako ili akishalizwa huko alipo akute na wewe una wako.
sawa mkuu upo sahh
 
Inauma sana pale unapompenda demu na kumthamini sana kiasi kwamba unaji sacrifice kwa lolote juu yake kisha anatumia udhaifu wako kukusaliti bila huruma. It really pains i feel you bro. Ila yataisha pole sana mkuu!
yaaa br
 
Nasema hivi silaha za kumshinda mwanamke
1. Njunja vizur hata mkongo we paka
2. Toa pesa kwa wingi siziso na kuuliza uliza maana kuna wanaume mpaka aambiwe ndo anatoa we toa tu km chizi kaona makopo
3. Rudia namba 2
4. Click no 1
 
saawa mkuu
 
Back
Top Bottom