Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Aliyembebea mkewe amepata raha sana, si unaona jamaa anavyo upapasa msambwanda kimtindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa vyema kama wewe ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.

Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜ƒπŸ˜ƒAlivyo mkumbatia mbebaj bora yeye angekuwa nyuma mkewe mbele.. Hovyo sana..
 
Acha uongo kama unaona hauna shida bas jua ww ndo shida mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama we ni masikini unadhani na wengine wote ni masikini pia?
Tatizo umezungukwa na masikini, kuna msemo unasema "wewe ni wastani wa rafiki zako wengine wanne" angalia circle yako vizuri nadhani ni muda sasa inabidi uibadilishe utakufa na njaa.
 
Hahahaa. Binamu tatizo siku hizi hamtuonei wivu. Sa sijui kwa nini?

Au ndio mnatuamini kupitiliza. πŸ™ˆ
Tume gawanyika Bina.. Mimi ningembeba mwenyewe/kuna tofauti kati ya kumtuma mtu akakuolee na kwenda kuoa mwenyewe
 
Co
Laiti ungejua nilivyo na maisha comfortable usingehata ongea. Nina miaka zaidi ya 10 sijajua kitu kinaitwa shida
Comfortable na manguo yamepauka hivy hujui shida kivp hpo akat wife anaonekana shida kibao jpo kidogo ana tako kiaina
 
Hahahaaa. Tena.

Ila sio mleta uzi peke yake ujue wapo Me wengi siku hizi wanaogopa maji mbaya. Wapo radhi wabebwe namna hiyo ila si maji kuwagusa.

Halafu unasikia mtu anasema 500 kitu gani bora nibebwe tu. Lol.
Utaskia "hao ni wale wanaume wa Dar hao"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…