Hahahaaa. Tena.Si umeona kijijini kwao kulivyo,ameishi Dar ameshayasahau mazingira ya kwao,eti hadi avushwe tena na mkewe abebewe,doh,aangalie asije kubebewa mazima,ππ
Corona imenifanya nizidishe mazoezi.Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things [emoji23]
kwa hiyo mayai sana! duhh! umeshindwa hata kumprotect huyo unaachia anakumbatia vijamaa vimekomaa misuli!! Kisa hutaki shida!! umefeli! tena bilo Barakoa!!Laiti ungejua nilivyo na maisha comfortable usingehata ongea. Nina miaka zaidi ya 10 sijajua kitu kinaitwa shida
Nilijua ataandika hapa namvusha mke wangu kutoka ng'ambo hii kwenda nyingineIla we jamaa mdebwedo sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani maji mafupi hayo unashindwa kukunja sarawili yako utembee mwenyewe kweli mwanaume mzima unapakatwa?!
Hivi unajiskiaje kubebwa na mwanaume mwenzio mgongoni kama mwali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π πIngekuwa vyema kama we ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Hao jamaa watakuwa wanasema Dar inetuharibia mwanakijii mwenzetu. Kawa mwanaume wa Dar!Kutoka dar mpaka kijijiniView attachment 1426076View attachment 1426077
Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu kwa mbele kuna mwanaume mwenzie kabeba gunia mgongoni na anavuka maji hayohayo.Ila we jamaa mdebwedo sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani maji mafupi hayo unashindwa kukunja sarawili yako utembee mwenyewe kweli mwanaume mzima unapakatwa?!
Hivi unajiskiaje kubebwa na mwanaume mwenzio mgongoni kama mwali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeliona dada! IlaKwani mdogo wangu we hujaliona? [emoji85]
Maji yanayotembea ni bora uwe boya tu sio kuogopa eti mwanaume wa Dar uingie yakubebe.Hahahaaa. Tena.
Ila sio mleta uzi peke yake ujue wapo Me wengi siku hizi wanaogopa maji mbaya. Wapo radhi wabebwe namna hiyo ila si maji kuwagusa.
Halafu unasikia mtu anasema 500 kitu gani bora nibebwe tu. Lol.
Safi sana, komaa angalau miezi mitatu ukishaanza kuona mabadiliko hutoacha. Ukipiga wiki moja hutoona kitu wengi hua wanakata tamaa mapema. Piga zoezi badilisha na mlo lakini, mlo ni muhimu sana, wanasema mazoezi hujenga 20% hiyo 80% hujengwa kwa mlo mzuriCorona imenifanya nizidishe mazoezi.
Naangaika na hiki kitambi kiondoke haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi? hiyo reply inakuja kwangu kweli? em rudia kuisoma vizuri maana sielewi hata ulichoandikakwa hiyo mayai sana! duhh! umeshindwa hata kumprotect huyo unaachia anakumbatia vijamaa vimekomaa misuli!! Kisa hutaki shida!! umefeli! tena bilo BarAKOa!!
Kila la heri mkuuKutoka dar mpaka kijijiniView attachment 1426076View attachment 1426077
Sent using Jamii Forums mobile app
βukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoroβπ€£π€£π€£π€£π€£Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things [emoji23]