Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

Tulizoea kiki ni kwa wasanii lakini sasa kiki anafanya kiongozi ambaye mtu hutarajii,
mkikutana na Mkwawa mmuulize chanjo za watoto ambazo mpaka leo watoto wanachanjwa,nchi yake inaweza kutengeneza?hawa mabeberu wanashindwaje kumaliza watoto wetu?

Mmuulize hivi Italy(mabeberu) ni miongoni mwa nchi ambazo watu wake walikufa kwa ma elfu kwa covid,hawa nao wapo kwenye vita ya kiuchumi na nani?

Katika tawala zote zilizowahi ongoza tz awamu hii tunauongozi wa ajabu sana.
 
yule aliyeenda Ufaransa nae sijui kaenda kuonana na wakina nani kama siyo mabeberu
Amekwenda kutafuta Chanjo kwa ajili ya boss wake maana ile dawa ya Madagascar aliyotumwa kuleta inaonekana haikusadia ikabidi aendelee kujifukiza. WHO na Rais wa Ufaransa wamependekeza nchi zilizoendelea lazima zisaidie kuchangia Chanjo kwa nchi za Afrika maana hazina uwezo wa kununua za kutosha wote. Ametumwa mapema kwa Rais mstaarabu Macron ili boss achanjwe aendelee kuishi wananchi masikini wakipukutika kwa madai kuwa anatumia mitishamba na Maombi. Rais wetu kwa kuomba hasa toka kwa mabeberu ni hodari sana yeye anamwomba mgeni yeyote anayekuja Tanzania, tabia ambayo wengi toka nje hawaipendi ndo maana miaka yote 5 hakuna Kiongozi wa mabeberu hata mmoja alikuja. Baniani mbaya lakini kiatu chake dawa!
 
Wewe ni nyani og
 
Hata internet ya mabeberu ina virusi vya kuwachunguza.

Mtaisusia mtengeneze yenu?
 
ni rais wa kipekee kweli, but kumulikwa na hivyo vyombo lazima uwe umefanya something extra ordinary?
inaweza kuwa extra foolish, extra bullshit, extra failure or extra success.

so our beloved president where does he fit?
Extra taahira
 
ni rais wa kipekee kweli, but kumulikwa na hivyo vyombo lazima uwe umefanya something extra ordinary?
inaweza kuwa extra foolish, extra bullshit, extra failure or extra success.

so our beloved president where does he fit?

Smart
 
Ilibidi wawe wamekuua,kwa jinsi wasitupenda ili wachukue Mali zetu
 
Huu mtindo wa uandishi unaitwa dhihaka, bahati mbaya sana wengi hawajamwelewa mtoa mada msomeni katikati ya mistari mtaelewa.

"tukiamka tu tunazikuta zipo madukani" "visit burigi -chato"
 
Kukaa Europe kwa miaka 10 tayari kumesha kufanya kuwa Mtumwa wa Wazungu,hata kwenu Africa Sasa hivi unapaona nyoso tu! Kweli slave minds hazitakuja kwisha kwa baadhi ya Wa Africa!!
 
Hiyo simu unatumia kaibuni mzungu, Rais wako vifaa vyote vya kumlinda kavitengeneza mzungu hata nguo na viatu katengeneza mzungu, hafu amauhofia hahhaaaa, shule kasoma ya mzingu usije ukakuta hata boxer kavaa ya mzungu
Na Malighafi ya kutengenezea hivyo vitu ulivyotaja zimetoka Africa,kwa hiyo ni swala la muda tu Wazungu watatusikia bombani!!
 
IGNORANCE, UMBUMBU wa fikra......
"Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani" inaonesha ni kwa kiasi gani ulivyo na elimu duni.
Unahitaji kufikiria zaidi ya hapo kumuelewa muandishi wa hii thread.
Isome tena halafu itafakari utamuelewa vizuri.
 
Inategemeana ulikua wapi na unafanya nini Europe, wazungu wengi ni mbumbu pia.

Unahitaji kuosoma tena hii thread ili uielewe vizuri
 
HIV virus awekwe kwenye Barakoa? Yaani HIV virus aishi nje ya blood cells?
Haya ni maajabu aisee.
 
nashangaa watu kama hawa mawazo sijui wanatoa wapi.
kuanzia mahospitalini, jeshini, bungeni tunatumia vitu vya mabeberu.

unajua hizi ni propaganda za kiongozi aliefeli kuudhibiti huu ugonjwa halaf anasingizia wazungu.
Vifaa vyote vya kitabibu tunatoa kwa hao mabeberu, Arv , dawa za Tb zote kwa mabeberu tena kwa hatipunguzo,
Kuna baadhi ya scenario nadhani mabeberu wanatusoma na kushangaa tumebeba nini vichwani mwetu , maana sio akili ya kawaida.
 
Wengi wamekurupuka kumfokea mleta mada wakati yeye kamkejeli JPM kwa akili
 
Hata internet ya mabeberu ina virusi vya kuwachunguza.

Mtaisusia mtengeneze yenu?
Kutengeneza mbali sana , benki na taasisi kadhaa huwa zinazingua network na kazi hazifanyiki kwa masaa kadhaa hata masiku , kisa mtandao , IT experts wanaishiwa clue kwenye ku supervise tu system , ndo tutaweza kutengeneza internet?
Mabeberu watakuwa wanatuangalia kwa dharau sana ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…