Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

IGNORANCE, UMBUMBU wa fikra......
"Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani" inaonesha ni kwa kiasi gani ulivyo na elimu duni.
Umeshindwa kung'amua hoja ya mwandishi wa uzi?!! Uwezo wako wa kutafakali ni mdogo kama mbegu ya haradani!!
 
Post zingine zinachefua hadi mtu unajuta kuzaliwa Tanzania. Kweli wapumbavu hawana aibu.
Tujipe tuu malengo,kuwa tunahitaji fursa ya kuendeleza viwanda cya ndani na kukuza uchumi wetu,kwani hatuwezi kushindana na dunia ilishatuacha Sana,tuache visingizio vyepesi vyepesi.
 
Kaa kimya maana hata hizo kemikali mnazotengenezea madawa ya maleria hapo pugu road mnazitoa kwao
 
Labda mimi ndiye nimemuelewa tofauti
 
Akili ni kitu kizuri Sana Kama utajaliwa kua nayo.
Lakini usipojaliwa kua nayo hata kuishi duniani ni mzigo mzito Sana.
Ivi umewahi kufikiria kua katika Tanzania yetu hii tunakiwanda Cha kutengeneza hata dawa ya Aina yoyote ya chanjo?
Wewe,Mama yako,Baba yako,watoto wako,wote mkijiangalia kwenye bega utaona unachata ya chanjo.
Je hizi chanjo huyu magufuli ndie Alie zitengeneza hapa Tanzania?
Dawa hizi zote wanawake wanachoma za sindano za uzazi wa mpango magufuli ndie anezitengeneza?
Hawa mabeberu wakiamua kuwamaliza si wanaanza na watoto wenu wa changa wanapozaliwa tu wanapewa chanjo za mabeberu?
Hakuna chanjo haitoki kwa mabeberu,chanjo zote zinatoka kwa mabeberu.
Kama Hawa watu wanataka kutuua kwa ajili ya barakoa tungeshakufa wote,maana hata madactari like hospitalini wanavaa hizohizo barakoa za mabeberu,hata kabla ya korona.
Kua na Akili sio lazima uzaliwe nayo,
Akili unaweza kua nayo ata kwa kuona au kujifunza.
 
Mabeberu nadhani ni hao wanatupa misaada ya net kwa kina mama wajawazito, ARV na kondom. Sijui kama wanataka kutumaliza wanashindwaje kutumia hizo
 
Wakilenga kuangamiza wanafanyia maandalizi. Zinatoka. kuwekewa corona na zinaletwa kwa ndege siku hiyo hiyo. Hapo vibaraka washaandaliwa kugawa Kama msaada!!
Stupid thinking kabisa. Mtu gani anawezafanya hujuma kitoto namna hiyo?
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kukaa Europe kwa miaka 10 tayari kumesha kufanya kuwa Mtumwa wa Wazungu,hata kwenu Africa Sasa hivi unapaona nyoso tu! Kweli slave minds hazitakuja kwisha kwa baadhi ya Wa Africa!!
Ni bora kuwa a slave kwa watu ambao wanajua siku ina masaa 24 kuliko kuishi mwenye nchi ambayo wanajua siku ina masaa 48 na ukivaa barakoa kwenye mikusanyiko ya watu huivui unashinda nayo unalala mayo!!
 
Wewe ni mjinga mkubwa
 
vita vya kiuchumi "blaza". ni wivutu. wameshaona maendeleo yetu ni ya kasi sana. wameanza kuogopa.
yaani waogope maendeleo yetu? gap walilotupiga itachukua muda sana kuja kuwafikia. thus wao wako kwenye upper levels nchi kama yetu haiwatishi.
wao wanapambana na super powers wenzao.. sio sis.
sioni sababu ya kumdhoofisha mtu ambae umempiga gap kubwa sana kinaendeleo
 
Punguza ufinyu wa fikra wa kufikiri kila kitu kizuri kinatoka kwa WAZUNGU shame on you mate......................
Hebu acha kutukana watu kwa hoja zako za kijinga na mtazamo wa kishamba!

Hapo ulipo naamini umevaa...katika ulivyovaa niambie ulichotengeneza ambacho hakikutengenezwa na mzungu?

Hebu acheni hoja za kibaguzi ambazo hazisaidii chochote. Mnawaattack wazungu kwenye jukwaa ambalo wahana nafasi ya kujibu...unfair kabisa!
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Sawa ila mabeberu wakija kutalii tuwapokee kwa mikono 2
 
nashangaa watu kama hawa mawazo sijui wanatoa wapi.
kuanzia mahospitalini, jeshini, bungeni tunatumia vitu vya mabeberu.

unajua hizi ni propaganda za kiongozi aliefeli kuudhibiti huu ugonjwa halaf anasingizia wazungu.
mkuu unaweza tutajia kiongozi ambaye amesha uzibiti huu ugonjwa
 
Tu
Tukatae na condomu
 
Watafaidikaje sisi tukifa?
Maendeleo yetu ya kasi yatawaathiri wao vipi?
aaaahrgh mabeberu utawaweza ndugu yangu. hawapendi tu kutuona wana wasiwasi sana na kasi ya maendeleo yetu. so wanaona ni bora tufe tu wabaki wenyewe wagawane nchi zetu. mengine mi siyajui ngoja Mh Rais akisema maana yeye ana taarifa nyingi sana. anajua hata wanayotuwazia wale mbuzi manyang'au kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…