Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

wewe unawezaje kumbishia mkuu wa nchi? acha ujuaji wewe. rais anajua kila kitu. akisema amesema.acha ubishi shauri yako.
 
Wewe kweli chizi maarifa
 
Ni bora kuwa a slave kwa watu ambao wanajua siku ina masaa 24 kuliko kuishi mwenye nchi ambayo wanajua siku ina masaa 48 na ukivaa barakoa kwenye mikusanyiko ya watu huivui unashinda nayo unalala mayo!!
Basi kwa taarifa yako hakuna watu wachafu Kama hao Wazungu! Wao ni mapafyumu na manukato kwa wingi sana Kama waarabu, kwenye harufu ya manukato ndiyo wanaficha uchafu wao! Nakuambia kwa sababu nilisha date sana na Wazungu hamna kitu mule,kula kitu Cha ki Africa ndiyo utaelewa namaanisha nini!!
 

Sio kila kitu kulalamika na mashindano. Watu wanakufa wote Dunia hii ni binadamu na huu ugojwa hauchagui nchi, rangi, bara wala uchumi wa nchi hivyo ni ajabu mambo tunayo ongelea. Hii inaonyesha utamaduni wetu wa kusingizia kila kitu tuweke tabia ya kutatua matatizo badala ya kusingizia.
 
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa! Hivi jamani kila mnachoambiwa na Rais mnakubali tu bila ya kufikiri, kuwaza na kujiuliza kama mlichoambiwa kuwa ni kweli au ni uongo? Hivi wewe umekaa kitako na kujiuliza ni muda gani virus wa covid 19 anaweza kuishi katika barakoa? Umejaribu angalau kusoma na kujua virus wa covid anaweza kuishi kwa muda gani katika hewa? Unajua ni katika mazingira gani covid virus anaishi na kwa muda gani anaweza kuwa hai katika sehemu mbali mbali kama vile nguo, meza, mlango n.k? Amka ndugu yangu, toa chongo machoni na kuwa na tabia ya kujielimisha.
 
Wakilenga kuangamiza wanafanyia maandalizi. Zinatoka. kuwekewa corona na zinaletwa kwa ndege siku hiyo hiyo. Hapo vibaraka washaandaliwa kugawa Kama msaada!!
Unajua ni muda gani corona virus anaweza kubaki hai nje ya mwili wa binaadamu? Unajua ni katika temperature gani corona virus anaweza kusalia kwa muda mrefu. taarifa zako za kuwekewa corona barakoa umezipata wapi?
 
Unaweza kuta huyu nae n kigogo mkubwa tu serikarini...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…