Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

... at relativistic speeds one 60 minute hour could shrink into a 30 minute hour making an earthly day a 48 hour day!
WE'RE ON THE RIGHT TRACK INDEED!
👊 😅✌️💥
 
Hii chombo (bomb detector) imeundwa pale kibaha na nyumbu au..?

IMG_20210221_211422.jpg
 
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa.

TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena unaweza kuta zimewekewa hata HIV Virus ukiacha tu COVID Virus.

Tuzikatae. Nawausia madaktari hata wanapoenda fanyia watu operation wavae barakoa za vitenge na khanga kuonesha uzalendo. Na ziwepo barakoa zenye bendera ya taifa kabisa.

Wajasiliamali huu ni wakati wa kuwa wabunifu. Tengenezeni Barako zilizoandikwa VISITI CHATO-BURIGI NATIONAL PARK, SERENGETI,NGORONGORO,MIKUMI n.k.

Nyingine ziandikwe VISIT TANZANIA. Kuwaumiza zaidi Mabeberu. Mabeberu safari hii tumekamata korodans zao. Watatapa tapa sana hawatupati. Barakoa tumezishtukia.

Tuendeleeni kuvaa Barakoa kujikinga na vumbi,magonjwa ya mafua,kikohozi na pia upepo. Na pia tunawe kuepuka kipindupindu,magonjwa ya kuhara,kuharisha na mengine ya kuambukiza.

Tugomee barakoa zao ambazo sijui zinapoingizwa nchini wanaziingizia wapi. Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani. Tuzikwepe hizi. Tutumieni za kwetu. Ili pia kuungishana. Mimi nimemwelewa sana Rais. Ukombozi safari hii tena kwa afrika unaanzia Tanzania. Wakati waafrika wengine wakianza kufa,kukosa nguvu za kiume,kukosa kuzaa,kukosa pesa,kukosa nguvu za kiuchumi sisi tutakuwa tunang'aa tu. Na watakuja kwetu wanawake zao wakitaka tuwazalishe. Watakuja kuomba tukafanye kazi kwao n.k
Hiyo simu unatumia kaibuni mzungu, Rais wako vifaa vyote vya kumlinda kavitengeneza mzungu hata nguo na viatu katengeneza mzungu, hafu amauhofia hahhaaaa, shule kasoma ya mzingu usije ukakuta hata boxer kavaa ya mzungu
 
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa.

TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena unaweza kuta zimewekewa hata HIV Virus ukiacha tu COVID Virus.

Tuzikatae. Nawausia madaktari hata wanapoenda fanyia watu operation wavae barakoa za vitenge na khanga kuonesha uzalendo. Na ziwepo barakoa zenye bendera ya taifa kabisa.

Wajasiliamali huu ni wakati wa kuwa wabunifu. Tengenezeni Barako zilizoandikwa VISITI CHATO-BURIGI NATIONAL PARK, SERENGETI,NGORONGORO,MIKUMI n.k.

Nyingine ziandikwe VISIT TANZANIA. Kuwaumiza zaidi Mabeberu. Mabeberu safari hii tumekamata korodans zao. Watatapa tapa sana hawatupati. Barakoa tumezishtukia.

Tuendeleeni kuvaa Barakoa kujikinga na vumbi,magonjwa ya mafua,kikohozi na pia upepo. Na pia tunawe kuepuka kipindupindu,magonjwa ya kuhara,kuharisha na mengine ya kuambukiza.

Tugomee barakoa zao ambazo sijui zinapoingizwa nchini wanaziingizia wapi. Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani. Tuzikwepe hizi. Tutumieni za kwetu. Ili pia kuungishana. Mimi nimemwelewa sana Rais. Ukombozi safari hii tena kwa afrika unaanzia Tanzania. Wakati waafrika wengine wakianza kufa,kukosa nguvu za kiume,kukosa kuzaa,kukosa pesa,kukosa nguvu za kiuchumi sisi tutakuwa tunang'aa tu. Na watakuja kwetu wanawake zao wakitaka tuwazalishe. Watakuja kuomba tukafanye kazi kwao n.k
Mimi naamini kama beberu anataka kutumaliza basi ni ishu ya siku moja tu,

Wala sio swala la kuweka vidudu kwenye barakoa,

Watasitisha dawa zote, misaada yote, na utalii wote, mpaka hapo tutakuwa tumekwisha
 
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa.

TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena unaweza kuta zimewekewa hata HIV Virus ukiacha tu COVID Virus.

Tuzikatae. Nawausia madaktari hata wanapoenda fanyia watu operation wavae barakoa za vitenge na khanga kuonesha uzalendo. Na ziwepo barakoa zenye bendera ya taifa kabisa.

Wajasiliamali huu ni wakati wa kuwa wabunifu. Tengenezeni Barako zilizoandikwa VISITI CHATO-BURIGI NATIONAL PARK, SERENGETI,NGORONGORO,MIKUMI n.k.

Nyingine ziandikwe VISIT TANZANIA. Kuwaumiza zaidi Mabeberu. Mabeberu safari hii tumekamata korodans zao. Watatapa tapa sana hawatupati. Barakoa tumezishtukia.

Tuendeleeni kuvaa Barakoa kujikinga na vumbi,magonjwa ya mafua,kikohozi na pia upepo. Na pia tunawe kuepuka kipindupindu,magonjwa ya kuhara,kuharisha na mengine ya kuambukiza.

Tugomee barakoa zao ambazo sijui zinapoingizwa nchini wanaziingizia wapi. Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani. Tuzikwepe hizi. Tutumieni za kwetu. Ili pia kuungishana. Mimi nimemwelewa sana Rais. Ukombozi safari hii tena kwa afrika unaanzia Tanzania. Wakati waafrika wengine wakianza kufa,kukosa nguvu za kiume,kukosa kuzaa,kukosa pesa,kukosa nguvu za kiuchumi sisi tutakuwa tunang'aa tu. Na watakuja kwetu wanawake zao wakitaka tuwazalishe. Watakuja kuomba tukafanye kazi kwao n.k
Tatizo hujui kuwa hii nchi ni masikini sana.
 
Wakilenga kuangamiza wanafanyia maandalizi. Zinatoka. kuwekewa corona na zinaletwa kwa ndege siku hiyo hiyo. Hapo vibaraka washaandaliwa kugawa Kama msaada!!
hahaha somebody consumes too much conspiracy. TFDA,TBS wamepewa jukumu la kukagua vifaa vyote kuhakikisha viko kwenye standard na havina fault na ni salama kwa matumizi.

sasa wazungu waacha kufanya research mwezin.. mars.. Ai.. hapo bado wapambane na corona ..
waache hivi vyote waje wapambane na tz..

kwa kipi tulicho wazidi?
 
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa.

TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena unaweza kuta zimewekewa hata HIV Virus ukiacha tu COVID Virus.

Tuzikatae. Nawausia madaktari hata wanapoenda fanyia watu operation wavae barakoa za vitenge na khanga kuonesha uzalendo. Na ziwepo barakoa zenye bendera ya taifa kabisa.

Wajasiliamali huu ni wakati wa kuwa wabunifu. Tengenezeni Barako zilizoandikwa VISITI CHATO-BURIGI NATIONAL PARK, SERENGETI,NGORONGORO,MIKUMI n.k.

Nyingine ziandikwe VISIT TANZANIA. Kuwaumiza zaidi Mabeberu. Mabeberu safari hii tumekamata korodans zao. Watatapa tapa sana hawatupati. Barakoa tumezishtukia.

Tuendeleeni kuvaa Barakoa kujikinga na vumbi,magonjwa ya mafua,kikohozi na pia upepo. Na pia tunawe kuepuka kipindupindu,magonjwa ya kuhara,kuharisha na mengine ya kuambukiza.

Tugomee barakoa zao ambazo sijui zinapoingizwa nchini wanaziingizia wapi. Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani. Tuzikwepe hizi. Tutumieni za kwetu. Ili pia kuungishana. Mimi nimemwelewa sana Rais. Ukombozi safari hii tena kwa afrika unaanzia Tanzania. Wakati waafrika wengine wakianza kufa,kukosa nguvu za kiume,kukosa kuzaa,kukosa pesa,kukosa nguvu za kiuchumi sisi tutakuwa tunang'aa tu. Na watakuja kwetu wanawake zao wakitaka tuwazalishe. Watakuja kuomba tukafanye kazi kwao n.k
Kuna vijana wa kitanzania bado wanaishi kwenye historia ya nyani kuwa watu , na siku zote wanaishi kwenye maisha yakusema yaani wenzetu wenzetu na mpaka kesho wanabishana hawaoni kama mtu mweusi anaweza chochote hadi sapoti ya mzungu laiti wote wangeweza kuwaza japo kwa mwaka tu kama Magu tungefika mbali sana.
 
yule aliyeenda Ufaransa nae sijui kaenda kuonana na wakina nani kama siyo mabeberu
 
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa.

TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena unaweza kuta zimewekewa hata HIV Virus ukiacha tu COVID Virus.

Tuzikatae. Nawausia madaktari hata wanapoenda fanyia watu operation wavae barakoa za vitenge na khanga kuonesha uzalendo. Na ziwepo barakoa zenye bendera ya taifa kabisa.

Wajasiliamali huu ni wakati wa kuwa wabunifu. Tengenezeni Barako zilizoandikwa VISITI CHATO-BURIGI NATIONAL PARK, SERENGETI,NGORONGORO,MIKUMI n.k.

Nyingine ziandikwe VISIT TANZANIA. Kuwaumiza zaidi Mabeberu. Mabeberu safari hii tumekamata korodans zao. Watatapa tapa sana hawatupati. Barakoa tumezishtukia.

Tuendeleeni kuvaa Barakoa kujikinga na vumbi,magonjwa ya mafua,kikohozi na pia upepo. Na pia tunawe kuepuka kipindupindu,magonjwa ya kuhara,kuharisha na mengine ya kuambukiza.

Tugomee barakoa zao ambazo sijui zinapoingizwa nchini wanaziingizia wapi. Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani. Tuzikwepe hizi. Tutumieni za kwetu. Ili pia kuungishana. Mimi nimemwelewa sana Rais. Ukombozi safari hii tena kwa afrika unaanzia Tanzania. Wakati waafrika wengine wakianza kufa,kukosa nguvu za kiume,kukosa kuzaa,kukosa pesa,kukosa nguvu za kiuchumi sisi tutakuwa tunang'aa tu. Na watakuja kwetu wanawake zao wakitaka tuwazalishe. Watakuja kuomba tukafanye kazi kwao n.k
Wewe jidanganye tu.

Hivi vitu vinavyozungumzwa kwa ujumla ujumla kabisa havina mashiko.Ni vizuri ili kuthamanisha chochote kama hiki unachoongea weka data hapo.Research uliyofanya leta hapa.Kwa mfano ni vizuri hao TBS ambao pia mimi siwaamini
waniambie au watuambie WaTz ni barakua za nchi gani zina virus na ziliingiaje nchini na test yake imefanyika wapi.Na aliyeziingiza amechukuliwa hatua gani na kama ni kutumaliza tumeshaisha kwa kuwa tumezitumia since last covid 19,

Watanzania sisi sio watu wa kula makapi kila mara.

Tunaambiwa tuvae barakoa tutengeneze wenyewe je zina ubora unaotakiwa kwa upumuaji au unavaa barakoa ya kitenge unashindwa kupumua na hata kuvuta hewa.Kuna kitu kinaitwa Ventilation.

Akili za kuambiwa,changanya na zako.Usiende tu kama pimbi.
 
Post zingine zinachefua hadi mtu unajuta kuzaliwa Tanzania. Kweli wapumbavu hawana aibu.
 
Kama wewe hapo ulipo haya maandishi hujaandikia kifaa cha beberu basi wewe ni mbuzi tena jike
 
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa.

TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena unaweza kuta zimewekewa hata HIV Virus ukiacha tu COVID Virus.

Tuzikatae. Nawausia madaktari hata wanapoenda fanyia watu operation wavae barakoa za vitenge na khanga kuonesha uzalendo. Na ziwepo barakoa zenye bendera ya taifa kabisa.

Wajasiliamali huu ni wakati wa kuwa wabunifu. Tengenezeni Barako zilizoandikwa VISITI CHATO-BURIGI NATIONAL PARK, SERENGETI,NGORONGORO,MIKUMI n.k.

Nyingine ziandikwe VISIT TANZANIA. Kuwaumiza zaidi Mabeberu. Mabeberu safari hii tumekamata korodans zao. Watatapa tapa sana hawatupati. Barakoa tumezishtukia.

Tuendeleeni kuvaa Barakoa kujikinga na vumbi,magonjwa ya mafua,kikohozi na pia upepo. Na pia tunawe kuepuka kipindupindu,magonjwa ya kuhara,kuharisha na mengine ya kuambukiza.

Tugomee barakoa zao ambazo sijui zinapoingizwa nchini wanaziingizia wapi. Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani. Tuzikwepe hizi. Tutumieni za kwetu. Ili pia kuungishana. Mimi nimemwelewa sana Rais. Ukombozi safari hii tena kwa afrika unaanzia Tanzania. Wakati waafrika wengine wakianza kufa,kukosa nguvu za kiume,kukosa kuzaa,kukosa pesa,kukosa nguvu za kiuchumi sisi tutakuwa tunang'aa tu. Na watakuja kwetu wanawake zao wakitaka tuwazalishe. Watakuja kuomba tukafanye kazi kwao n.k
Kwenye maisha unaweza kuhisi unapambana na mtu kumbe unapambana na wewe mwenyewe.
Mana Tanzania tunahisi tunapambana na mabeberu kumbe mabeberu wapo busy na maisha yao.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Back
Top Bottom