Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Nashukuru kwa taarifa hakika nitapita vipi bei zake hazijachangamka ? Vipi ni chakula size zote zinapimwa au ni size moja ?Wakuu...kwa sisi mabachela hapa tunapata pilau safi kabisa..nimekula kwa Mara ya kwanza nikaongeza sahani ya pili imebidi niifunge maana nilijiaona sijashiba kabisa..halafu so kula sahani mbili hapohapo.
Sina uhakika umati huu wote wanaokula ni kweli mabachela au nyumbani msosi wa hovyo.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Ndiyo shida...panadol kwa wingiChakula cha mtaani siku zote ni kitamu. Ila mazingira yake sasa
Panadol, kuku wa kibaha/chalinzeWakuu...kwa sisi mabachela hapa tunapata pilau safi kabisa..nimekula kwa Mara ya kwanza nikaongeza sahani ya pili imebidi niifunge maana nilijiaona sijashiba kabisa..halafu so kula sahani mbili hapohapo.
Sina uhakika umati huu wote wanaokula ni kweli mabachela au nyumbani msosi wa hovyo.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Nime comment hapo juu hapoUpite na buguruni mkuu huto jutia
Vibaya hivyo Mkuu 🤣🤣🤣Nilisikia wanapikia mayi ya my T
😂🤣😁noma sanaNilisikia wanapikia mayi ya my T
Nikifikiria joto la saa hivi navyosonga ugali geto najitahidi jasho lisidondoke kwenye msosi. Je mama ntilie wanafanyaje ukizingatia wanapikia sufuria kubwaChakula cha mtaani siku zote ni kitamu. Ila mazingira yake sasa
Kilitokea kipi?Vibaya hivyo Mkuu 🤣🤣🤣
Mimi ilipozuka ile taharuki kwenye samaki nilikaa miezi 6 sijala samaki!
Kesho nenda mkuu😂🤣😁noma sana