Hapa tiptop barabarani Kuna chakula kitamu sana

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Wakuu...kwa sisi mabachela hapa tunapata pilau safi kabisa..nimekula kwa Mara ya kwanza nikaongeza sahani ya pili imebidi niifunge maana nilijiaona sijashiba kabisa..halafu so kula sahani mbili hapohapo.

Sina uhakika umati huu wote wanaokula ni kweli mabachela au nyumbani msosi wa hovyo.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru kwa taarifa hakika nitapita vipi bei zake hazijachangamka ? Vipi ni chakula size zote zinapimwa au ni size moja ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu...kwa sisi mabachela hapa tunapata pilau safi kabisa..nimekula kwa Mara ya kwanza nikaongeza sahani ya pili imebidi niifunge maana nilijiaona sijashiba kabisa..halafu so kula sahani mbili hapohapo.

Sina uhakika umati huu wote wanaokula ni kweli mabachela au nyumbani msosi wa hovyo.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Panadol, kuku wa kibaha/chalinze
 
Vibaya hivyo Mkuu 🤣🤣🤣
Mimi ilipozuka ile taharuki kwenye samaki nilikaa miezi 6 sijala samaki!
Kilitokea kipi?

kweli mambo ni mengi ni vile n biashara ila kwa macho yangu mawili kuna mambo ambayo nimeshayashuhudia yakifanyika ili kuvuta wateja.
 
Back
Top Bottom