Hapa utakuta ni kisa demu tu mshakaji anafanya maamuzi haya ya kufurahisha wengine

Kwenye hilo lenu, naona maandiko yamekaa kimya πŸ˜…

Wale bikra 72 watakuwa ni wana wali kutoka peponi moja kwa moja πŸ€—
Ila wanaume walioandika Quran & biblia πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒHalafu kuna njemba ikaandika Jana eti wanawake Ni wabinafsiπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Ila wanaume walioandika Quran & biblia πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒHalafu kuna njemba ikaandika Jana eti wanawake Ni wabinafsiπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Dunia ina mfumo dume

Angalia mitume wanaohubiriwa kote kwenye Biblia na kwenye Quran tukufu, wote ni Wanaume

Kanisa Katoriki halina historia ya kuwa na Papa Mwanamke

Katika Uislamu, wahubiri wote wanaoswalisha ni Wanaume
 
Huyu anata kuwa mganga wa jadi, majini hayamtaki Yesu kwenye shughuli hizo.
 
Mtu akishafika umri wa miaka 18 na zaidi, tayari anakuwa na uhuru wa kuchagua imani ya kuifuata.

Nafikiri ameona asikose fursa ya wale bikra 72 kule ahera πŸ€—
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…