Hapa utakuta ni kisa demu tu mshakaji anafanya maamuzi haya ya kufurahisha wengine

Hahaha............kwamba hizo hadithi za kupata bikra 72 kule ni uongo
Uongo uliozidi

Mungu atusaidie Aisee
Hapo mtu anaenda mbinguni au motoni
Kati ya sehm hizo 2 mmoja ataenda

Hako kauongo eti mabikra 72 kibaya
Mtu akienda kuzimu Kwa sababu ya Dhambi ataenda kukutana na mavitu ya kutisha
Ni mateso juu ya mateso
tu na hapo atajuta kudanganywa mabikra 72 anakutana
Na Mashetani
Kwa sababu ya kuishi kwenye njia ya uongo


Cha Msingi tuishi kwenye njia ya Yesu
Tufike mbinguni
 
Ukioa mwanamke wa kiislam na wewe siyo muislam tegemea upinzani mkubwa kutoka kwa wakwe zako, na ndugu zake na siyo vinginevyo
Hii ni kote mkuu

Karibu sehemu nyingi za kidini , dini ni mali ya familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…