Hapa utakuta ni kisa demu tu mshakaji anafanya maamuzi haya ya kufurahisha wengine

Maashallah baarakallahu lahu. Allahumma man ahyaytahu minnaa fa-ahyihi 'alal- islam, waman tawaffahu minnaa fatawaffahu 'alal-iymaan
 
Mfike mbingu ya ngapi kaka,maana mbingu zipo nyingi.Ila waislamu wataingia Peponi.Pia kumbuka huko mbinguni kwenu mtaenda kuwapigia mapambio watakatifu kina sisi huku tukisugua tu mbususu za bikra.
 
Mfike mbingu ya ngapi kaka,maana mbingu zipo nyingi.Ila waislamu wataingia Peponi.Pia kumbuka huko mbinguni kwenu mtaenda kuwapigia mapambio watakatifu kina sisi huku tukisugua tu mbususu za bikra.
Ukweli ni Huu
Sehemu ni 2 kwa wote
Hiyo ya kusema ety mbingu fulani ni ya kwenu au wakristo hamna

Watu wataingia kati ya sehm hizo 2
Mbinguni au motoni


Kwishaaaaβ€”-
 
Kweli Shetani anawafuasi Wengi
Inanisikitisha sana
Shetani yupi huyo Mkuu?

Sisi wengine umri umetutupa Mkono, Wacha tuzidishe ibada tu

Tukikutana na hizo bikra 72 tutasema hewala, tukikosa hao basi pepo yakwetu
 
Mtu akishafika umri wa miaka 18 na zaidi, tayari anakuwa na uhuru wa kuchagua imani ya kuifuata.

Nafikiri ameona asikose fursa ya wale bikra 72 kule ahera πŸ€—
Kuliko kwenda kupakatwa na kidune Ibrahimu kama Lazaro,alivyopakatwa na kidume Ibrahim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…