Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
pole mpendwa msukuma kakufanyeje tena???
jamani shosti mie MASANILO na utukutu wake mbona ataniua kabla ya siku zangu??? hunitakii mema wewe
Nina wasiwasi msukuma atakuwa kanilimisha usiku.....si bure eeh ...
hahahaha ni heri huyo mtukutu kuliko yule aliyezubaa shosti!....masanilo comedian si umeona mwenyewe jana alivyokuja na syle yake mpya?....nenda naye tuu hivyo hivyo taratibu!....."Mvumilivu hula mbivu"...
pole mpendwa msukuma kakufanyeje tena???
jamani shosti mie MASANILO na utukutu wake mbona ataniua kabla ya siku zangu??? hunitakii mema wewe
Ndahii ela!...sa kuno!....eeh nawaonea wivu sana nyie mnaenda kulala huku ndiyo kwanza kumekucha!...But thank god its friday!....
BM umenichekesha kweli lol!!! na hao kwa mashamba ndo wenyewe umelima weeeee afu wakakupakia ungo wakakurudisha!!!!
mmh Masa naogopa!!!
Hahahaah wewe pole pole utazoea tu! It wont be like " An elephant Making love to a pig" huo ni usemi tu usitafasiri Kiswahili LOL
oopppppppppppppppps pete ya $76,000
all the best
Hehehe si watige wi piluka,
Haya bana
hahahaha shostihujakosea na hisi nimerudishwa na ungo last nite maana si bure!...
LOL!....Umemsikiahapo juu eti polepole utazoea tuu! anajifanya mnyonge! hahahaha Masa bana....
nimemsikia mwenzangu.....ntazoea nini sasa..'back rear' au ule mtandao cheap???
Haya weekend njema mnyalu...penye saa hisi utakuwa unaelekea kwa kilabu kupata ule ulanzi wa saa kumi na mbili....
...
nimemsikia mwenzangu.....ntazoea nini sasa..'back rear' au ule mtandao cheap???
Hahahaha yeah pale mashine 3 unapapata pale ukipiga lita 2 unakuwa safi kisha unanunua kande za mia 2 unashindilia unapiga ugimbi kisha makongongoro na bagia za kunde,weeee pilipili juu
Hahahahaahah ule mtandao wewe uliisha weka wazi hairuhusiwi "Strictly Prohibited"
Hahahaha yeah pale mashine 3 unapapata pale ukipiga lita 2 unakuwa safi kisha unanunua kande za mia 2 unashindilia unapiga ugimbi kisha makongongoro na bagia za kunde,weeee pilipili juu
Huo mchanganyiko lazima upate mchefuko wa tumbo! Meza kabisa na dawa za kufunga kuhara!
I don't condone that! wee mzoee yeye as Masanilo...and don't allow him to use your body kama vile huna thamani....."Agree to disagree!"...not into everythign though shosti....usimchekee sana ndiyo mwanzo wa kutaka back rear
umesahau kubehua...mtu akibeua unaweza kukimbi hapo!....
nashindwa kumdigest Masa!!!! kwanza na yule mzenji asije akanipostia majini mweee!!!!
Hahahaha Mzenj, hana shida ukizingatia yeye ni bi mkubwa!