Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

pole mpendwa msukuma kakufanyeje tena???

jamani shosti mie MASANILO na utukutu wake mbona ataniua kabla ya siku zangu??? hunitakii mema wewe

Nina wasiwasi msukuma atakuwa kanilimisha usiku.....si bure eeh ...

hahahaha ni heri huyo mtukutu kuliko yule aliyezubaa shosti!....masanilo comedian si umeona mwenyewe jana alivyokuja na syle yake mpya?....nenda naye tuu hivyo hivyo taratibu!....."Mvumilivu hula mbivu"...
 
BM umenichekesha kweli lol!!! na hao kwa mashamba ndo wenyewe umelima weeeee afu wakakupakia ungo wakakurudisha!!!!

mmh Masa naogopa!!!
 
hahahaha shostihujakosea na hisi nimerudishwa na ungo last nite maana si bure!...

LOL!....Umemsikiahapo juu eti polepole utazoea tuu! anajifanya mnyonge! hahahaha Masa bana....
 
oopppppppppppppppps pete ya $76,000

all the best

Yeah. They need all the best. Ujasikia kwamba ivumayo haidumu?
Kuna watu hapa hela iliwazidi wakafikia kuleta Vogue zako kwa Charter plane all the way from U.K. Wakaishia Segerea. This is madness!
 
Hehehe si watige wi piluka,
Haya bana

Haya weekend njema mnyalu...penye saa hisi utakuwa unaelekea kwa kilabu kupata ule ulanzi wa saa kumi na mbili....

Basi them days...vijana bana pale iringa right walikuwa wanakunywa ulanzi kwanza ili wapate kuwa high si unajua wakienda kwa club wanajifanya babu kubwa wananunua ka-bia kushushia...kuna this guy alikunywa wanzuki bana that day akaenda kushushia na ka-bia weeh ile mix ilikataa bana ali-throw up vibaya alafu hapo anatoa makande plus wanzuki yaani nomaa mademu wanamcheki ilikuwa soo....
 
hahahaha shostihujakosea na hisi nimerudishwa na ungo last nite maana si bure!...

LOL!....Umemsikiahapo juu eti polepole utazoea tuu! anajifanya mnyonge! hahahaha Masa bana....

nimemsikia mwenzangu.....ntazoea nini sasa..'back rear' au ule mtandao cheap???
 
Hahahahaahah ule mtandao wewe uliisha weka wazi hairuhusiwi "Strictly Prohibited"
 
Haya weekend njema mnyalu...penye saa hisi utakuwa unaelekea kwa kilabu kupata ule ulanzi wa saa kumi na mbili....

...

Hahahaha yeah pale mashine 3 unapapata pale ukipiga lita 2 unakuwa safi kisha unanunua kande za mia 2 unashindilia unapiga ugimbi kisha makongongoro na bagia za kunde,weeee pilipili juu
 
nimemsikia mwenzangu.....ntazoea nini sasa..'back rear' au ule mtandao cheap???

I don't condone that! wee mzoee yeye as Masanilo...and don't allow him to use your body kama vile huna thamani....."Agree to disagree!"...not into everythign though shosti....usimchekee sana ndiyo mwanzo wa kutaka back rear
 
Hahahaha yeah pale mashine 3 unapapata pale ukipiga lita 2 unakuwa safi kisha unanunua kande za mia 2 unashindilia unapiga ugimbi kisha makongongoro na bagia za kunde,weeee pilipili juu

Huo mchanganyiko lazima upate mchefuko wa tumbo! Meza kabisa na dawa za kufunga kuhara!
 
Hahahaha yeah pale mashine 3 unapapata pale ukipiga lita 2 unakuwa safi kisha unanunua kande za mia 2 unashindilia unapiga ugimbi kisha makongongoro na bagia za kunde,weeee pilipili juu

hahahaha that is so gross ila walikuwa wana save hela sana tuu yaani!...hahahaha curious...have you ever done that too?...maana usinifanye nicheke....juzi nilikutana na vijana walikuwa wanafanya hivyo bana walianza kusimuliana nilikufa mbavu kabisa...wenyewe enzi hizo walkuwa wanajiona wako juu....hahahahahaha!
 
I don't condone that! wee mzoee yeye as Masanilo...and don't allow him to use your body kama vile huna thamani....."Agree to disagree!"...not into everythign though shosti....usimchekee sana ndiyo mwanzo wa kutaka back rear

nashindwa kumdigest Masa!!!! kwanza na yule mzenji asije akanipostia majini mweee!!!!
 
Back
Top Bottom