Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
pole mpendwa msukuma kakufanyeje tena???
jamani shosti mie MASANILO na utukutu wake mbona ataniua kabla ya siku zangu??? hunitakii mema wewe
Nina wasiwasi msukuma atakuwa kanilimisha usiku.....si bure eeh ...
hahahaha ni heri huyo mtukutu kuliko yule aliyezubaa shosti!....masanilo comedian si umeona mwenyewe jana alivyokuja na syle yake mpya?....nenda naye tuu hivyo hivyo taratibu!....."Mvumilivu hula mbivu"...