Kazi gani hizo mnafanya hata lunch ofisi haiwahudumii..Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Tanzania na watanzania ni maajabu. Majuu wafanyakzi wengi tu hata wenye vyeo vikubwa kama wakurugenzi hubeba lunch box waendapo kazini. Ofisi nyingi unakuta zina microwave oven za kupasha moto, friji na sehemu ya kulia na hata dish washing machine. Sisi tunajifanya tuko matawi ya juu na tunakwenda nje kununua vyakula. Kwa nini msibebe vyakula na mkala hotelini siku moja moja? Mke wako akipika chakula cha jioni anakuwekea unaondoka nacho asubuhi.Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Noma sana mkuu, mimi sina Experience kwahilo sababu sijawahi ajiriwa mkuu 🙌Kipindi hiko nilikuwa nakula asubuhii chapati tatu na chai mpaka jioni.....
Maake sikuwa na kitu, afu pia nikila hivyo nisipofanya kazi ngumu kula Tena inanipa taabu kidogo...
Jamaa mmja akaniuliza sijawahi kukuona lunch time
Mimi sasa asubuhii nakula nashiba ko saa hz sili Tena....
Akashangaa Mimi nikamwambia ndo hivyo!
Blood Ibn Unuq
Sio majuu mkuu, niliwahi kufanya kazi na mu australia mmoja alikua ventilation engineer mahali fulani asee asubuhi akinywa chai basi hubeba lunchbox yake nilikua namshangaa sana ila nilijifunza kituTanzania na watanzania ni maajabu. Majuu wafanyakzi wengi tu hata wenye vyeo vikubwa kama wakurugenzi hubeba lunch box waendapo kazini. Ofisi nyingi unakuta zina microwave oven za kupasha moto, friji na sehemu ya kulia na hata dish washing machine. Sisi tunajifanya tuko matawi ya juu na tunakwenda nje kununua vyakula. Kwa nini msibebe vyakula na mkala hotelini siku moja moja? Mke wako akipika chakula cha jioni anakuwekea unaondoka nacho asubuhi.
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Unaweza kuta umekula 2/3 ya mshaharaYesu.....🙆♂️
Toka lunch time then fanya window shopping rudi ofisini! Wazushi watajua umetoka lunchUnaweza kuta umekula 2/3 ya mshahara
Si unampiga sound tu ma ntilie ule hata ukoko maarage. na badae unamlipa kwake hukoMe kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Hua najifanya bado kidoogo, namalizia game la nyoka au la vyuraMe kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu siku moja uajiriwe kwenye taasisi inatoa chakula mchana au siku nzima.Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.