Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Mnununlie simu mpya uje tumhack. Utampatia kama zawadi . Utajua kila kitu. Tumia akili
 
Adi wanawake wanaaga kwenda kikazi kumbe wanaenda kufanya janja janja
Jamaa yupo na mkewe anamgharamia kila kitu Ila mkewe kampenda mshkaji wa kawaida tu anataka awe mtu wake wa pembeni anamkunja na kumkunjua kila anapohitaji, sometimes mnapenda Pesa Ila hamumpendi anaetoa Pesa
 
chief uko na mwanamke malaya.
 
Pole sana ndugu yangu kama hiki kisa ni cha kweli na huyu ni mke wako basi hesabu maumivu.


Kwa kuwa umeshaumia basi tunaomba yatokanayo utusmuliw mlikutana wapi mlianza vipi Mahusiano ili tuokoe vijana wengine.

Yangu ni hayo tu.
sawa chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…