Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Nimemwona hapa KP Lodge na Dereva kapark 300 series ( SU .... SOMA ULE)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha peke yako hamna 😄😄😄sina amani ,mali yangu nahisi haiko salama
Ushagongewa pole sanaNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Anzia stendi ukumbushie kuimba kale ka wimbo vidudu "namtafuta mke wangu,namtafuta mke wangu,hapa hayupo hapa yupo"Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Uko sahihi.Kuna jambo umemfanyia hutaki kuliweka wazi. Na kama uliwahi kumcheat hivi karibuni na akagundua..mwenzio yupo kwenye kulipiza kisasi.
Mchunie usimtafute, akirudi endelea kuuchuna kuwa busy na mambo yako. Utaona atakavyohangaika.
Pole sanaNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
usiombe yakukute chiefKitu ambacho siwezi katika maisha yangu ni kuishi na mke ambaye anafanya kazi. Hili siwezi kabisa.
Kingine nashangaa, yaani mkeo anawezaje kutokuwa hapatikani usiku kirahisi na yuko mbali na wewe.
Hivi uko serious au unachangamsha genge kama mdau mmoja alivyo sema huko juu.
Hivi unajua nafasi ya mke kwako mzee ?
itafika wakati nawe utaoa chiefBora mimi sijaoa
Kabisa binafsi ni shuhuda wa hili hasa yale maeneo ya mtumba pale magufuli city kunakojengwa ofisi za wizara zote unazozijua pamechafuka sana paleAnatombwa moja kwa moja hakuna kumungunya maneno, hakuna sehemu wake za watu wanaliwa kama dodoma hasa kipind hich makao makuu yamehamia huko, namshauri bwana robertinho arud kwao atakufa kwa pressure
sio poah mkuuhii imenitokea sana. wanawake wa ngese sana. pole aisee mimi apokei simu kabisa. mkali if i call
🤣😂😂🤣Kumshtaki kwamba? Anarudi kazini kachoka hapokei simu zako?
Kijana relax,watakurudishia atakapomaliza kazi
Acha ujinga..tafuta helaNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
acha kuongea lugha za kijiweni unanijua mi ninani! nafanya ishu gani?Acha ujinga..tafuta hela
Nitake radhi...acha kuongea lugha za kijiweni unanijua mi ninani! nafanya ishu gani?
mapenzi ni kitu kingine dogo
harakati za kumtafuta zinaendelea, ili nijue yuko salama ama kakumbwa na umauti ,kwenye hizi kumbi za walatino -profesa j (nikusaidieje)Kama kaenda Dodoma basi kwa 99.99% kuna jamaa anamtafuna. Siku hizi wanawake wengi washenzi wa safari za Dodoma. Inaonekana Dodoma mambo ni mengi. Labda tumsikilize dronedrake huenda akawa na maoni tofauti.
japo hatufahamiani, my aim is not to insult/abuse any oneNitake radhi...
Mimi sio dogo..kwa umri ni kama baba yako au mume wa mama yako.
Asante na karibu.