Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Ahahahah.
Yan hapo mimi ningecheka tu halaf nakausha kimya.
Sitampigia simu, nitatulia tu kwakua sina uthibitisho lakin hapo najua 98% washamtombea mtu so sina ujanja.

Akirud home, ni a matter of time tu, ataondoka mwenyewe kwenda ambako ataona patamfaa ila habar yetu mimi na yeye ndio itakua ilikomea pale kwenye "we zombi, haujui, na simba la ma simba dangote" [emoji23][emoji23].

NB.
Msiwachukulie wanawake serious. Yan usiwapende kiviiile ... kama ni mkeo, acha mapenz ya kihind, ishi nae normal tu sio lazima mapemz yale ya maigizo, muwekee clear itaratib wako, akikiuka ni nje ya mfumo anaenda haina kuremba.

Mwanamke anapswa kukutii na kuwa na adabu, hawezi bas hamuwezani
Kabisa mkuu, yaani wewe kama baba boss wa familia, mdhamini kuu, dipromati mkuu wa familia unapiga simu hapokei hapo kavuka red line
 
Back
Top Bottom