Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Mu
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Muache atumike,akamulike kisawasawa
Acha wahuni wa Mkoani wamkamie kisawa sawa šŸ˜šŸ˜
 
nina namba ya rafiki yake wa kike, kwa sasa yuko likizo. siku taka kuuliza sana nachotaka nikumrudisha home wife akiwa salama
Mkuu usalama uko wapi siku nne kala buyu na siku ya mwisho umesikia , ā€œeeeh kibera, eeh kibera , eeh kamera , ondoa kamera nipo na demu wa mtu ondoa kamera, alafu jitu linamalizia chinomanawanā€ kuwe na usalama hapo, WE ZOMBI WE HAUJUI ?…..alafu kwa spid unaenda nayo hautaamini atavyokuja kujifanya ni victim ya bullying unayofanya hauta amini
 
sikubali hata kidogo

Mpenzi kutokujali kusema alipo yaani alipofikia pole sana. Mwanamke hata wanaume anayempenda mkewe/mumewe hawezi kufanya hayo anayokufanyia.

Kazini kwake si unapafahamu naenda kasema umepoteza simu yako na ulikuwa karibu na hapo kuna kitu muhimu tumia akili ilijibiwa usemeje.. panda usafiri kesho nenda.

Kimya kimya utamkamata na lolote like, nifanye mjinga kabisa.. ila uwe na ubavu haswaa kwa utakayogundua

Kim uka kupima magonjwa kabla ya round ingine nae...
 
thank you madam
 
Kabisa mkuu, yaani wewe kama baba boss wa familia, mdhamini kuu, dipromati mkuu wa familia unapiga simu hapokei hapo kavuka red line
Yan ni simple tu kihivyo mkuu. Mambo ni mengi ya kufanya, tena yenye maana zaid hiz papuch zipo tu
 
Kitu ambacho siwezi katika maisha yangu ni kuishi na mke ambaye anafanya kazi. Hili siwezi kabisa.

Kingine nashangaa, yaani mkeo anawezaje kutokuwa hapatikani usiku kirahisi na yuko mbali na wewe.

Hivi uko serious au unachangamsha genge kama mdau mmoja alivyo sema huko juu.

Hivi unajua nafasi ya mke kwako mzee ?
 
Back
Top Bottom