Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Ahahahah.
Yan hapo mimi ningecheka tu halaf nakausha kimya.
Sitampigia simu, nitatulia tu kwakua sina uthibitisho lakin hapo najua 98% washamtombea mtu so sina ujanja.

Akirud home, ni a matter of time tu, ataondoka mwenyewe kwenda ambako ataona patamfaa ila habar yetu mimi na yeye ndio itakua ilikomea pale kwenye "we zombi, haujui, na simba la ma simba dangote" 😂😂.

NB.
Msiwachukulie wanawake serious. Yan usiwapende kiviiile ... kama ni mkeo, acha mapenz ya kihind, ishi nae normal tu sio lazima mapemz yale ya maigizo, muwekee clear itaratib wako, akikiuka ni nje ya mfumo anaenda haina kuremba.

Mwanamke anapswa kukutii na kuwa na adabu, hawezi bas hamuwezani
 
sahihi chief
 
yote yawezekana , mm nachojua nampenda sana
Mwanamke huwa hapendwi,mwanamke huwa anathaminiwa kadiri anavyozidi kukupendeza kwa jinsi anavyoenda ktk njia uliyokuwa unaitaka wewe.

Huyo ameshajua ameiteka akili yako ndiyo maana anafanya vitu vya kitoto visivyo na msaada kwako wewe kama mumewe,kwa akili ya kawaida unadhani siku tatu hapokei simu yako na ni mtu mwenye elimu kichwani anategemea nini kama siyo anafanya ili akutese?
 
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Wewe Cha msingi nenda huko huko dodoma usiku wa manane
 
Mfuate alipo uweze kuujua ukweli. Nenda alipo bila taarifa
 
Unajua amelala hoteli Gani?
 
Back
Top Bottom