Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
-
- #21
napanga kwenda kumshitaki ofisini kwake, ama ahame hio taasis"Kudanja" ubongo umetafuta maana yake kwa muda kidogo😅.
Muache mke afanye kazi ,watakurudishia wakimaliza kazi.
sikweli chief,huyu ni wa ubavu wanguShida ni kwamba unachangamsha genge..
bambalaga ipo maeneo gani mkuu?Huko dom ni hatari na hiyo zombi haujui alikuwa yupo bambalaga masta
Noted champ, japo nisha mzoea dahMpe Talaka huyo Mwanamke.
Ukiona amefikia hatua ya Kukuambia Una mapenzi ya zaman...
Pia hakuheshim, anakudharau na anakuona wewe kama Mjinga
Mwanaume ukishapoteza Heshima yako basi hufai Tena kua Mume wa mwanamke Mpumbavu
HIVO MPE TALAKA MARA MOJA
Dawa mtafutie mwenzake. Usihangaike na mwanamke muache yy ndio ahangaike na wwNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa anasafari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Kumshtaki kwamba? Anarudi kazini kachoka hapokei simu zako?napanga kwenda kumshitaki ofisini kwake, ama ahame hio taasis
Huna maisha mdogo'angu Mungu tu asimamie show,nikuulize nini tegemeo lako ulipokuwa unamuoa huyo mwanamke?daah nahisi kudanja kwa pigo anazo niletea wife
sio poah chief, huu moto haubebekiWale waliokuwa “bado hawajaoa wanazidi kujifunza”
Msome kuelewa ili mjue mnajifunza nini kutokana na scenario wanazokutana nazo kaka zenu waliooa wafanyakazi wakiamini watasaidiana maisha.
hata sijui nikashtaki nn, nachotaka wife arudi nyumbaniKumshtaki kwamba? Anarudi kazini kachoka hapokei simu zako?
nipe direction nafikaje chako?Yuko ChakoniChako anaenjooy maisha mafupi ni simple
SahihiMpe Talaka huyo Mwanamke.
Ukiona amefikia hatua ya Kukuambia Una mapenzi ya zaman...
Pia hakuheshim, anakudharau na anakuona wewe kama Mjinga
Mwanaume ukishapoteza Heshima yako basi hufai Tena kua Mume wa mwanamke Mpumbavu
HIVO MPE TALAKA MARA MOJA
Hivi siku ukifa utakuwa unamlinda hivyo hivyo? Kumbuka hata mbinguni hakuna kujuana iwe mke au mume. Muache mwenzako apumueNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
yote yawezekana , mm nachojua nampenda sanaHuna maisha mdogo'angu Mungu tu asimamie show,nikuulize nini tegemeo lako ulipokuwa unamuoa huyo mwanamke?
Nadhani pia ana cheo na anakuzidi kipato.
Hakuna mtu hajui bambalaga masta ipo mjini, kuna viwanja kama vitatu vinne nna uhakika ukizunguka hutamkosa kama unajua anapenda kwenda viwanjani na kama umejua kazi aloendea, dodoma wanaliwa watumish masta daah malodge daily yamejaaa, nikiwa naenda napigaga simu niwekewe room kabisa sababu huwa kuna uwezekano wa kukosaaabambalaga ipo maeneo gani mkuu?
nata niingie domu now
hukua neno (mapenzi ya kizamani) this means ulishatemwa zamani na sasa ana chombo kipya.Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.