Duuu bongo bwana!View attachment 978792
Ha ha ha hao hata Mungu washamkacha,sio kwa faking hizo aseeDah!! Okwi nilingane nae??
Nimeanza kumsikia 2008 enzi hizo nina miaka15
Wamuogope Mungu asee
diamondKumbe bado kinda kabisa...
Nasikia Okwi juzi ndio kagonga 25!!??
Hivi ule wimbo wa "forever young" kaimba nani wandugu!?.
Kwa uzee wake hakuna Wa kumfananisha naeNyoni utamfananisha na nani pale kwenye bwawa
Ha ha ha Amen!Mungu akupeleke mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule star mwenye miguu ya dhahabu amegonga 26 wanayanga mpo wapi tumpongeze kijana wwtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 978620
Boban mwenye ndoto za kucheza soka kimataifa alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya young African sc dhidi ya tukuyu
Haya ajibu jiandae kusugua benchi
Kwa uzee wake hakuna Wa kumfananisha nae
Watanzania tunatabia ya kuwezeesha wachezajibwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jay z mkuu...Kumbe bado kinda kabisa...
Nasikia Okwi juzi ndio kagonga 25!!??
Hivi ule wimbo wa "forever young" kaimba nani wandugu!?.
Ndugu Uncle ni mdogo kwa brother Erasto. Yaani mi nlvokuwa na 17 yrs erasto alikuwa ni wale ma bro wanacheza ndondo tena ile ya uswazi ambapo sisi tulikuwa tunasema timu ya mabrother zetu,hata mazoezi tulikuwa hatuwezi Fanya nao. Leo Mimi Nina 32 yeye anasema ana 30Mzee kuliko njomba ngasa[emoji1][emoji1]
not to that extent! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu Uncle ni mdogo kwa brother Erasto. Yaani mi nlvokuwa na 17 yrs erasto alikuwa ni wale ma bro wanacheza ndondo tena ile ya uswazi ambapo sisi tulikuwa tunasema timu ya mabrother zetu,hata mazoezi tulikuwa hatuwezi Fanya nao. Leo Mimi Nina 32 yeye anasema ana 30
Eeh nimeanza kumuona muda mrefu sana kama 2002 hiviWewe unamjua erasto? Au unazungumzia nini bwana mdogo
Eeh nimeanza kumuona muda mrefu sana kama 2002 hivi
Ha ha ha alikuwa na miaka mingapi hivi hata kwa kukadiria? Id yangu ya kwanza ni ipi ndugu?Alikuwa mdogo sana ...afu mkuu kwanini umebadilisha I'd yako? Naikumbuka
Ha ha ha alikuwa na miaka mingapi hivi hata kwa kukadiria? Id yangu ya kwanza ni ipi ndugu?
Hapana ndugu ilikuwa na mchezaji Wa Man UIlikuwa na mchezaji wa barca
Dah!! Okwi nilingane nae??
Nimeanza kumsikia 2008 enzi hizo nina miaka15
Wamuogope Mungu asee