Happy 26 haruna moshi aka boban

Happy 26 haruna moshi aka boban

Yule star mwenye miguu ya dhahabu amegonga 26 wanayanga mpo wapi tumpongeze kijana wwtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 978620

Boban mwenye ndoto za kucheza soka kimataifa alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya young African sc dhidi ya tukuyu

Haya ajibu jiandae kusugua benchi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee kuliko njomba ngasa[emoji1][emoji1]
Ndugu Uncle ni mdogo kwa brother Erasto. Yaani mi nlvokuwa na 17 yrs erasto alikuwa ni wale ma bro wanacheza ndondo tena ile ya uswazi ambapo sisi tulikuwa tunasema timu ya mabrother zetu,hata mazoezi tulikuwa hatuwezi Fanya nao. Leo Mimi Nina 32 yeye anasema ana 30
 
Wewe unamjua erasto? Au unazungumzia nini bwana mdogo
Ndugu Uncle ni mdogo kwa brother Erasto. Yaani mi nlvokuwa na 17 yrs erasto alikuwa ni wale ma bro wanacheza ndondo tena ile ya uswazi ambapo sisi tulikuwa tunasema timu ya mabrother zetu,hata mazoezi tulikuwa hatuwezi Fanya nao. Leo Mimi Nina 32 yeye anasema ana 30
 
Boban angalia namba yake mgongoni aliyoamua kuvaa baada ya kutua Yanga utaelewa umri wake kwa sasa
 
Back
Top Bottom