Happy 26 haruna moshi aka boban

Happy 26 haruna moshi aka boban

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Yule star mwenye miguu ya dhahabu amegonga 26 wanayanga mpo wapi tumpongeze kijana wwtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1545897488170.jpeg

Boban mwenye ndoto za kucheza soka kimataifa alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya young African sc dhidi ya tukuyu

Haya ajibu jiandae kusugua benchi
 
Yule star mwenye miguu ya dhahabu amegonga 26 wanayanga mpo wapi tumpongeze kijana wwtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 978620

Boban mwenye ndoto za kucheza soka kimataifa alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya young African sc dhidi ya tukuyu

Haya ajibu jiandae kusugua benchi
Brother mbona Povu
?
 
Yaaani tangu nianze kumsikia Huyu Bobani bado ana 26? nilikuwa mdogo saivi nimemzidi miaka yeye yupo pale pale tu, au yaleyale ya akina Wema sepetu kila mwaka yeye ana 23 tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwenda mtoa mada anatania.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaani tangu nianze kumsikia Huyu Bobani bado ana 26? nilikuwa mdogo saivi nimemzidi miaka yeye yupo pale pale tu, au yaleyale ya akina Wema sepetu kila mwaka yeye ana 23 tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania tunatabia ya kuwezeesha wachezajibwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaani tangu nianze kumsikia Huyu Bobani bado ana 26? nilikuwa mdogo saivi nimemzidi miaka yeye yupo pale pale tu, au yaleyale ya akina Wema sepetu kila mwaka yeye ana 23 tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilimchora romario
Ila nadhani mtoa mada ametania.

Haruna Moshi nimemchora sana kwenye daftari langu la stadi za kazi eti lao hii ana umri karibia na mimi! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom