Happy birthday Bantu Lady

Nawashukuru wote kwa wishes zenu, kuchukua muda wenu, mbarikiwe sana na nawapenda sana wote. Mmeifanya siku yangu iwe nzuri zaidi.
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Gily acha uchokozi basi 🀣🀣🀣🀣 nilikuwa na marafiki waliandaa huko nje ya mji. Na ndiyo tumerudi. Nyinyi na wao mmeifanya hii Birthday kuwa ya kipekee sana. Asanteni πŸ™
miaka inaenda we furahia kupitilizaπŸ˜€

bibi yangu alikuw analilia maziwa yan nimepew na mama maziwa kweny bilauri na yeye anayalilia. Akipewa ya kwake hataki anataka anywe ya kwangu πŸ˜‰ na mimi nalia sana pale mama anaponiwekea mengine nataka yale yale ya bilauri

need I say more😬
 
Inakuaje sikuona huu uzi...

Naamini kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwako Bantu Lady ilikuwa njema...

Heri na fanaka kwako mama...
Asante sana Watu8 Barikiwa sana. Humu ndani mambo mengi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… unaweza pitwa tu. Kwa kweli ilikuwa nzuri nmshukuru Mungu kwa hilo. Tunazidi kuzeeka tu πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…