Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅 namnaaa hii ndio inatakiwaaa . matoto ya siku hizi hayawezi hizo vurugu... ungemla kabisa kichwaa huyooo teacher akabaki anauguza hata jerahaIlinikuta hii mwakaleli high school mbeya!!
Nilimkimbiza second masta na fyekeo hata nisahau.
Baada ya hapo nikafukuzwa nikakata rufaa kwa mkuu wa mkoa then nikaambiwa nije siku ya pepa
Kabisa nyie ni twins 😍😍!Jamani kumbe Team Gemini, pamoja na Tonnia naye Gemini.
Sasa tumegongana tarehe Saint Anne sisi ni twins kabisa 😘😘😘
Mwaka jana kuna form 4 alimbambia akampa alimpa vitasa mwalimu wa field !! Nae Alikuja kwenye pepa tu wanafunzi mna mabalaa sana nyie!!Ilinikuta hii mwakaleli high school mbeya!!
Nilimkimbiza second masta na fyekeo hata nisahau.
Baada ya hapo nikafukuzwa nikakata rufaa kwa mkuu wa mkoa then nikaambiwa nije siku ya pepa
Ankol na chino walikuwa wakorofi sana. Kufundisha watoto wa kiume ni shughuli. Hawachelewi kupiga.Mwaka jana kuna form 4 alimbambia akampa alimpa vitasa mwalimu wa field !! Nae Alikuja kwenye pepa tu wanafunzi mna mabalaa sana nyie!!
Ankol na chino walikuwa wakorofi sana. Kufundisha watoto wa kiume ni shughuli. Hawachelewi kupiga.
Nyie mshendwweeee kwanii🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️!!😁😁😁!!
Trena mtreketrezeeeeeeee Kabesaaa;😂😂
😅😅😅 nije nisome form 5... nikutie robaaa huku nipo nyumaaa yakooo 🤣🤣🤣🤣Yaniiii mie hata sitakagi mazoea nao kabisa wanafunzi ni wehuuuu!!
Watakulaaani mbakie kusema yuko wapi yule mwalimu aliesema....!! Mfyuuu zenyuu 😁😁😁😅😅😅😅 .. walimu lazima wakuogope , ndio maisha yaende.. nahisi hapo kama ningekuwa mwanafunziii mngenimwaga mapemaa.. chuo flani nilienda kusoma ka elimu flani, walimu wa ile idara walikuwa wana ninyaaa.. kuna mmoja alizingua nilimchimba beat 🤣🤣🤣 jamaa aliniogopa kinomaaa na somo lake nikatoboaa.. mkwala nilio wachimba na vile nilikuwa sieleweki eleweki wakahisi ni kitengoo kumbe wengine hatunaga cha kupoteza
Kwa mfano yule second master!Mwaka jana kuna form 4 alimbambia akampa alimpa vitasa mwalimu wa field !! Nae Alikuja kwenye pepa tu wanafunzi mna mabalaa sana nyie!!
Weee mjomba ungevuta bangii wee hio akili yako Sijui ungekuaje walai sio kwa matukio hayo!Haya maisha hutakiwa kuishi kizembe zembe 🤣🤣🤣 sasa hivi tunapiga matukio mahala ambapo ni prohibited 😅😅😅😅 sema kwa akili . lazima tuishi kwa michaka michakaaa kama kambini . sio kizembe zembe
Miaka hio wanafunzi walikua wakorofi sana na matukio kama yote!!Kwa mfano yule second master!
Tulivyokua form five! Alikua anatuambia form 6 hawafanyi kazi sababu Wana mtihani wa taifa kazi zote Ni form five kufagia, kuteka maji, kulima n.k
Sasa tulivyofika form 6 akatugeuka; sisi wateule tukagoma akaja tufata room tunacheza zetu karata! Nilikua nishakula vitu vyangu. Sikufikiria mara mbili niliokota fyekeo nilimtoa nduki mnywani dah Mungu anisamehe. Baba wa wetu alipiga kelele hizo dah
😅😅😅😅 naogopa laani ya mwanamke.. na sijawai mfanyia fujo mwanamke.. huwa nalala mbele na wanaume wakudaaaa ... ili tupime msulii.. mwanamke nitakuwa nimemuoneaa tuWatakulaaani mbakie kusema yuko wapi yule mwalimu aliesema....!! Mfyuuu 😁😁😁
Hii kauli inanichekesha. Eti yuko wapi yule Mwalimu wa Maths, aliyesema hatutafika popote? Hapa ni wapi? 😂😂😂😂Watakulaaani mbakie kusema yuko wapi yule mwalimu aliesema....!! Mfyuuu 😁😁😁
😅😅😅 siogopagi kabisa ukinizngua kama huyo mwalimu wa chuo ndio alikuwa Head of Department... lakini aliupata moto wangu vizuri.. nasomo lake nakukumbuka lilikuwa core subject alinibanaaa mwisho wa siku nikapata B ila hana hamu na mie.. hadi leo hiiiHii kauli inanichekesha. Eti yuko wapi yule Mwalimu wa Maths, aliyesema hatutafika popote? Hapa ni wapi? 😂😂😂😂
Naona walimu wamewashika pabaya kila saa wanawawaza wao tyuuu mxxxieeww 😏😏😏😏!!Hii kauli inanichekesha. Eti yuko wapi yule Mwalimu wa Maths, aliyesema hatutafika popote? Hapa ni wapi? 😂😂😂😂
Naona walimu wamewashika pabaya hadi hawapui kila saa wanawawaza wao tyuuu mxxxieeww 😏😏😏😏!!Hii kauli inanichekesha. Eti yuko wapi yule Mwalimu wa Maths, aliyesema hatutafika popote? Hapa ni wapi? 😂😂😂😂