Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

Miaka hio wanafunzi walikua wakorofi sana na matukio kama yote!!
Sikuhizi sio kihivooo labda mijini huko!
Sikuhizi wengi Ni watoto
Those days tulikua tunasoma na mafaza!!

Shule niliyosoma mie kuingia darasani Ni option! Either ukanywe gongo mtaani, ukacheze kamali, ukabambie wanakijiji.

Dah nikawa najisemea nimetoka zangu ushuwani rwamishenye amani uko nimedondokea wapi uko.

Kwa wetu wa mbeya waliopita iyo shule wanaijua vizuri sana
 
😅😅😅 siogopagi kabisa ukinizngua kama huyo mwalimu wa chuo ndio alikuwa Head of Department... lakini aliupata moto wangu vizuri.. nasomo lake nakukumbuka lilikuwa core subject alinibanaaa mwisho wa siku nikapata B ila hana hamu na mie.. hadi leo hiii
Wewe akili yako inaonekana sio mjomba atakaingia 18 zako analoo😂😂😂😊!

Mwakajuzi HM si akajifanya anaenda kutuliza kelele usiku mabwenini kwa form 6 huko weeeehh wakazima taa acha wamrushie mawe usiku alitrokajee ndukiii huku njia haioni vizuri kiherehere chote kilimuisha mbona hadi leo anaogopa kwenda mabweni ya advance 😁😁😁😂!!
 
Sikuhizi wengi Ni watoto
Those days tulikua tunasoma na mafaza!!

Shule niliyosoma mie kuingia darasani Ni option! Either ukanywe gongo mtaani, ukacheze kamali, ukabambie wanakijiji.

Dah nikawa najisemea nimetoka zangu ushuwani rwamishenye amani uko nimedondokea wapi uko.

Kwa wetu wa mbeya waliopita iyo shule wanaijua vizuri sana
Hahahaaa..Kunywa gongo lol!!
 
Wewe akili yako inaonekana sio mjomba atakaingia 18 zako analoo😂😂😂😊!

Mwakajuzi HM si akajifanya anaenda kutuliza kelele mabwenini kwa form 6 huko weeeehh wakazima taaacha wamrushie mawe usiku alitrokajee ndukiii kiherehere chote kilimuisha mbona hadi leo anaogopa kwenda mabweni ya advance 😁😁😁😂!!
😅😅😅 sasa hivi na technology mpyaaa, nakuminyaaa kimyaaa ukija shtuka nimekumalizaaa 😅😅😅.. dunia ni uwanja wa vitaaaa
 
Hahahaaa..Kunywa gongo lol!!
Pipo zilikua zimepinda!

Tulikua tuna miliki mademu wa form five kinguvu.

Ili uwe salama usiteswe pona yako mtoto wa kike wa form five nikua na kidume cha form 6

Afu unakuta na mademu wa form 6 wanawala mkwara mademu wa form 5 ole zenu mtoke na mabwana zetu

Haha Yani ilikua full vurugumechi
 
Hahahaaa... mlikua wababe sana nyie!
 
Back
Top Bottom