Unataka kunioa?Funguka nijue mtani
Hapana napendaga comments zako tu ndo maana πΆπ€Unataka kunioa?
Mie mtu mzima sana. Nina watoto umri sawa na wa kwako.Hapana napendaga comments zako tu ndo maana πΆπ€
π€£ We mtu mzima ndio lla bado mi mkubwa kwako!Mie mtu mzima sana. Nina watoto umri sawa na wa kwako.
Yaani wewe huna ukubwa wowote. Hata 28 hujafikisha.π€£ We mtu mzima ndio lla bado mi mkubwa kwako!
Haya niambie chuo ulimaliza mwaka gani na ulisomea nn pleaseee!
Comments zisikudanganye mi naweza kuwa kaka kabisaYaani wewe huna ukubwa wowote. Hata 28 hujafikisha.
Comments za ki-GenZComments zisikudanganye mi naweza kuwa kaka kabisa
We utakuwa una 44-46 saivi! Haizidi hapoOkeeeπ€£. Ni kweli sijafikisha hiyo 52, ni kweli pia nimemaliza std 7 1993. Do the maths utapata umri wangu.
Upo sahihi.We utakuwa una 44-46 saivi! Haizidi hapo
Kuhusu chuo ndo umekataa kuniambia!
Acha uongo basi kuna sehemu nilisoma umecomment ulisoma chuo wewe na bestie yako ukamzimikia nanili wake,,,,,,Sijasoma mieπ
Ha haaa sikwambii. Isijekuwa wasiojulikana weweπ πAcha uongo basi kuna sehemu nilisoma umecomment ulisoma chuo wewe na bestie yako ukamzimikia nanili wake,,,,,,
Mambo yasiwe mengi niambie chuo ulisoma nn na ulimaliza mwaka gani!
Sasa wewe utekwe una nn cha kutekewa au we mfanyabiashara mkubwa!? ππHa haaa sikwambii. Isijekuwa wasiojulikana weweπ π
You never knowSasa wewe utekwe una nn cha kutekewa au we mfanyabiashara mkubwa!? ππ
Acha woga basi au watoto wanakutegemea ππYou never know
NdiooooπAcha woga basi au watoto wanakutegemea ππ
Sawa nimeelewa nataka nikuulize swali personal unaniruhusu!Ndiooooπ