Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

Mie mtu mzima sana. Nina watoto umri sawa na wa kwako.
🤣 We mtu mzima ndio lla bado mi mkubwa kwako!

Haya niambie chuo ulimaliza mwaka gani na ulisomea nn pleaseee!
 
Demi kuna sehemu nilisoma ulisema ulimaliza la saba 1993 kama sikosei iweje uwe na miaka 52!!! 🤔😀
 
Okeee🤣. Ni kweli sijafikisha hiyo 52, ni kweli pia nimemaliza std 7 1993. Do the maths utapata umri wangu.
 
We utakuwa una 44-46 saivi! Haizidi hapo

Kuhusu chuo ndo umekataa kuniambia!
 
Sijasoma mie😀
Acha uongo basi kuna sehemu nilisoma umecomment ulisoma chuo wewe na bestie yako ukamzimikia nanili wake,,,,,,

Mambo yasiwe mengi niambie chuo ulisoma nn na ulimaliza mwaka gani!
 
Ha haaa sikwambii. Isijekuwa wasiojulikana wewe😅😅
 
Back
Top Bottom